HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 10 June 2016

Entertainment Picha,Chidi Benz back in the Gym,Chumaaa



Baada ya kutoka Rehab [Sober House ya bagamoyo] rapa mkubwa Afrika Mashariki Chidi Benz amezama Gym kupiga tizi na kurudisha mwili wake.
Chid aliwahi kuwa msanii mwenye muonekano wa kipeke kwenye game la hiphop na sasa anarudi tena kuthibitisha uwezo wake #GOODLUCKHOMMIE
chidi benz

No comments:

Post a Comment