Baada ya kumiliki mjengo mkali Afrika Kusini wenye thamani ya
zaidi milioni 400, Diamond amewashtua mashabiki wake kwa ile
inayowezekana kuwa ni ndinga yake nyingine anayoimiliki nchini humo
alipoijenga Madale yake.

Muimbaji huyo ameweka picha za gari hilo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika ujumbe ambao unaonyesha gari hilo ni mali yake.
Kupitia mtandao huo, Diamond ameandika, “Jus decided to get this for my south africa’s up and downs trip…..

#SideChick.”

“

@zarithebosslady kidogo changu mimi nawe, kikubwa cha Barabuu… Mali zao
zisifanye upagawe ukaniweka Roho juu…. so proud to have you mama,
tukutane kwenye kuliwakilisha Taifa kwenye Mashuka leo

@zarithebosslady

,” ameandika kwenye picha nyingine aliyoiweka kwenye mtandao