Friday, 23 December 2016
Tuesday, 20 December 2016
AudioMPYA: Queen Darleen na Rayvanny
Ni headlines za wasanii wawili wa Bongo Fleva kutoka label ya WCB ambapo Queen Darleen leo Dec 20, 2016 ameachi single yake mpya aliyomshirikisha Rayvanny iitwayo Kijuso.imetayarishwa katika studio za Wasafi Records.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hiyo single mpya.
Video: Good luck Gozbert – Ndiwe Mungu
Msanii wa Gospel Goodluck Gozbert ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Ndiwe Mungu”, angalia hapa chini.
Subscribe to:
Posts (Atom)