HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 25 June 2016

Entertainment Picha,Diamond Platnumz kahojiwa na mtoto wa Puff Daddy kwenye kipindi cha 106&Park


.
Bongo fleva super staa Diamond Platnumz amehojiwa na kipindi cha BET Cha 106&PARK akiwa na mastaa kama Akon,  na  Ray Jhuku aliyefanya mahojiano ni mtoto wa Puff Daddy ‘Quincy’.
Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani kwenye tuzo za BET 2016 za 16, Diamond anawania kuzo ya msanii bora kutoka Afrika.
bet 1 bet 2 bet 3


Hii video mpya ya 2 Chainz Ft Lil Wayne ‘MFN Right (Remix)’ itazame hapa.


2 Chainz na Lil Wayne wanaendelea kutoa ngoma kutoka kwneye album yao ya ColleGrove, hii video mpya ya “MFN Right (Remix).
Itazame video hapa.

Entertainment Hii video mpya ya Belle 9 Ft Izzo Bizness, Jux,G Nako,Mr Blue,Maua Sama’Burger Movie Selfie RMX’ itazame h



Rnb staa Belle 9 amekamilisha video ya wimbo wake mpya  ambao ni Remix ya ‘Burger Movie Selfie RMX’ akiwa na wasanii kama Izzo Bizness, Jux,G Nako,Mr Blue na Maua Sama.

VIDEO: Diamond Platnumz alivyohojiwa na 106&Park ya BET

Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani tayari kwa ajili ya tuzo za BET 2016, Diamond ambaye yupo nominated katika kipengele cha msanii bora wa kiume kutokea Afrika, alfajiri ya June 25 2016 amehojiwa na kipindi cha 106&Park kinachorushwa na BET.
ULIKOSA VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ KUSEMA AMEWAONA WANAOSEMA TIFFAH SIO MTOTO WAKE?

Taarifa iliyotolewa leo kuhusu mlipuko wa ugonjwa usiofahamika Dodoma


June 19 2016, Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia na watoto ilitoa taarifa kuhusu kuwepo kwa ugonjwa usiofahamika katika wilaya za Chemba na Kondoa, mkoani Dodoma ambapo wakati huo kulikuwa na jumla ya wagonjwa 21 na vifo 7.
Leo June 25 2016 Waziri Ummy Mwalimu ametoa taarifa kwamba idadi ya wagonjwa imefikia 32 na idadi ya vifo imebakia 7 hii ni baada ya kuongezeka kwa wagonjwa 11 katika kipindi cha wiki moja.
Waziri Mwalimu amesema Wizara ifanya jitihda mbalimbali za kutambua kiini cha ugonjwa huo baada ya kupeleka jopo la wataalamu ili kufanya uchunguzi wa kina pia ameeleza kuhusu sampuli zilizofanyiwa utafiti…….

Picha: TID ajichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair



TID anaendelea kumuenzi rafiki yake kipenzi, marehemu Albert Mangwea kwa style ya aina yake.
tid
Mnyama amejichora tattoo zenye majina ya hits za Ngwair.
Baadhi ya nyimbo ambazo TID ameziandika ni pamoja na She Got A Gwan, Mikasi, Dakika Moja, CNN, Ghetto Langu, Fly Away na AKA Mimi.
Wawili hao walikuwa karibu kiasi cha kuanzisha kwa pamoja label ya Radar Entertainment.

Video: DJ Neptune feat Flavour – TGIF (Time No Dey)



DJ Neptune releases visuals for his hit single TGIF {Time no dey} featuring Flavour Nabania.
The new dance anthem TGIF is one of the single off DJ Neptune’s forth coming album, and the track was produced by MasterKraft and video was directed by Avalon okpe.

Friday, 24 June 2016

Haya hapa majina ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha tano na ufundi 2016

June 24 2016 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ‘TAMISEMI’ imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali, Kwa urahisi zaidi unaweza kuyaona majina yote kwenye hii link
http://tamisemi.go.tz/form_five_selection/

Chris Brown ashtakiwa na meneja wake kwa madai alimdunda


Chris Brown amezishika tena sharubu za jela baada ya kudaiwa kumpiga meneja wake.
chris-brown-mike-g
Meneja wake Mike G ameenda kortini kwa madai ya kumpiga ngumi usoni na shingoni bila hata kumfanya kitu, kwa mujibu wa TMZ. Anadai ilibidi apelekwe kwenye chumba cha dharura kufuatia tukio hilo.
10724992_343545055850262_883632253_n
Kwenye mashtaka hayo, Mike ameongeza kuwa Brown alimkejeli kwenye mitandao ya kijamii na kujisifia kwa alichomfanyia na kuwaambia wenzake kwenye ziara kuwa atawapiga kama meneja wake kama watamzingua.
Mike anadai kuwa tabia ya Chris imetokana na madawa na kwamba ana wasiwasi kuwa anaweza kulipiza kisasi na marafiki zake wahuni. Brown alijibu madai hayo na kusema kuwa alimfukuza kazi Mike G kwa kuiba fedha.
“Ni**as is getting mad and filing lawsuits because I fired them because they’re stealing money,” alisema kwenye Instagram. “You’re stealing money, pal. So you’re mad because you’re no longer existent. It’s alright. We’re gonna keep pushing. God bless you. Wish you the best of luck.”
In another clip, he says he isn’t going to “entertain it.”
Kwenye video nyingine Chris anasema: Nobody comes out clean in a shit-throwing contest. And I can throw a big piece of shit. I’m talking about massive chunks. I’m talking elephant shit mixed with donkey shit and there might even be a little bit of rabbit pebbles. I can throw a big piece of shit, but we not gonna play these games. We gonna let these people do what they do. I’ma keep getting this money.”
Mike G aliajiriwa mwaka 2012 kusaidia kusafisha jina la CB baada ya tukio la kumpiga Rihanna.

Thursday, 23 June 2016

14 best iPhone SE cases



16395-13280-best-iphone-se-cases-xl


14 best iPhone SE cases
                                                                                           14 best iPhone SE cases

Introduction

So Apple went and dropped another 4-inch iPhone and, at least to the people we have talked to here at T3 Towers, people are excited.
Some are so excited that they plan on upgrading promptly and, as such, will have to safeguard their new precious with a stylish and safe new smartphone case.
Here we have listed the 12 greatest iPhone SE cases in the marketplace today. As ever, this list will be regularly updated as additional cases are released, so be sure to check back in going forward.Find out more  14 best iPhone SE cases under below.
14 best iPhone SE cases
                                                                                    14 best iPhone SE cases

Spigen iPhone SE Case Slim Armor

We kick things off with this fairly classy amount from T3 favourite Spigen. The iPhone SE Case Slender Armor offers “owed protection and durability”, while its “glossy design and smooth feel provides a modernistic belief.” Additionally, it comes in four different colour schemes – this one, however, is “Gunmetal”.
Cost: $24.99 (£17.44)

14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE case

OtterBox iPhone SE Defender Series Case

Should you like rugged or otters smartphone instances the OtterBox iPhone SE Defender Series Case is likely right down your street. “Three stalwart layers keep your mobile safe from drops, soil and scrape taking on all the wear and tear of routine use.” It also comes with OtterBox’s Accredited Drop Protection, which essentially means it’s ‘ard as nails.
Price: £39.99
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Proporta Genuine Leather Sleeve iPhone SE


Proporta class this place up a bit today with its Proporta Genuine Leather Sleeve iPhone SE, a streamline actual leather telephone sleeve that’s black on the surface and tan on the interior. It is “designed to take care of your Apple iPhone SE from impact, shock and everyday wear and tear [while] the expertly-crafted pouch adds touch details in the microfibre lining, reinforced edges and magnetic pull-tag for simple device removal.” Snazzy!
Cost: £24.95
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Lifeproof nĂĽĂĽd case for iPhone SE

Things get slightly pricey now as we move on to the £79.95 Lifeproof nĂĽĂĽd case for iPhone SE. By parting with that moolah the nĂĽĂĽd will safeguard your iPhone SE “from accidental drops, dirt and spills while keeping the touch screen open to your direct touch.” According to its makers, “its smart design also permits full access to each iPhone function, including Touch ID.”
Cost: £79.95
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Grovemade iPhone SE Wood & Leather Case

Utilising a two-part layout comprising a premium, vegetable-tanned leather back plate and wooden frame, the Grovemade iPhone SE Wood & Leather Case is a wonderful thing to hold and look at. The case features laser cut allows full access to all of the phone’s functions, actuated power and volume buttons, and is individually hand-sanded and stained. It’s possible for you to select from maple and walnut for the wood also. Really nice!
Price: £69.23
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Mophie Universal Belt Clip for iPhone SE

Do not fancy an instance? Why not get your 80s on with this mophie Worldwide Belt Clip for SE that is iPhone? Not only will the clip help you be 80s-man, strutting around talking BUSINESS and drinking Bolly, but it will likewise enable you to swap out that new iPhone SE for any other version also. Heck, you could even clip in a pager!
Price: £29.95
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Nodus Shell Case for iPhone SE


Show your alligience to Cthulhu or, more precisely, smartphone case maker Nodus, by slotting your new 4-inch smartphone within this Shell Case for SE that is iPhone. It comes in three colours that are tastefull, is made from Italian leather, has a magnetic docking system and a soft, microfibre lining. Ph’nglui mglw’nafh Cthulhu R’lyeh wgah’nagl fhtagn!
Price: £49.99
14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases

Decoded Denim Wallet Case for iPhone SE

Offering a Dutch layout, the Decoded Denim Wallet Case for iPhone SE combines together superior leather and Japanese denim to generate a truly wonderful appearing flip case. The case features an elasticated strap that holds the flap closed when not in use, enables the internal stashing of charge cards and grants accessibility to any or all ports, cameras and buttons on the SE. Swish!
Cost: £39.95

14 best iPhone SE cases
14 best iPhone SE cases


Griffin Survivor All-Terrain

A smartphone case roundup would not be complete without the obligatory entrance from Griffin, so here is the Survivor All-Terrain, a chunky beast of a case for the SE that is iPhone. It appears so significant as the “Survivor is built on a shatter-resistant polycarbonate frame clad in tough, shock-absorbing silicone.” While a “built-in screen guard seals your Multi-Touch display from the outside environment, and hinged plugs seal the dock connector, headphone port, hold switch and volume controls.”
Price: £34.99

 14 best iPhone SE cases
                                                                                               14 best iPhone SE cases

Dog & Bone Backbone iPhone Wireless Charging Case

We kick things up a notch now technology-wise with the Dog & Bone Backbone iPhone Radio Charging Case. You can also swap in an ultra-light battery for additional power, together with the low profile Backbone Battery sliding into the case seamlessly. The case also comes in four colour variations: orange, blue, pink and red.
Price: £77.03
14 best iPhone SE cases
                                    14 best iPhone SE cases


Casetify Sushi Panda Ghost

We currently turn everything on its head from setting protection first and foremost. The Casetify Sushi Panda Ghost has an incredibly minamilist and stylish case for your iPhone SE, with a humourus and tasteful panda layout, that is both superb slender and made to order. It offers little protection compared to a number of the other cases in this guide, yet that design – and several others on the website of Casetify – are only too good to ignore.
Price: £21.87
14 best iPhone SE cases
                                                                            14 best iPhone SE cases


iPhone SE Leather Case

In case you just need no nonsense, a minamalist, professional appearing iPhone SE case then you definitely could do a lot worse than plumping for the official iPhone SE Leather Case. Frankly it only does everything you can desire from a smartphone case, offering access to any or all interfaces and buttons holding the phone snugly, and delivering a soft microfibre inside liner to stop scratches. It’s also created from authentic, European leather, so it feels premium in the hand. A great all-rounder!
Price: £29.00
14 best iPhone SE cases
                                                                                                   14 best iPhone SE cases

Sena Ultra Thin Snap-On iPhone SE

This is nice-looking case. The Sena Ultra Thin Snap-On iPhone SE is a snap-on case that has a genuine leather stylish and backplate frame. It is inexpensive compared to many of the other instances in this roundup, looks great both screen up and down, and comes in three tasteful colour combinations. Fine!
Cost: $19.95 (£13.86)
 14 best iPhone SE cases
                                                                                                            14 best iPhone SE cases

Tech21 Evo Mesh Case

And lastly, for the moment anyhow, we have the Evo Mesh Case from Tech21. In line with the business, “The Evo Mesh case for iPhone SE is ultra-thin and super-lightweight, [as well as] offering 2 metres drop protection.” It comes in three colour schemes too, which all show its fashionable net patternation.
Cost: £24.95
 14 best iPhone SE cases
                                                                       14 best iPhone SE cases

Video: Davido na Trey Songz wakutana tena Marekani, collabo yao yakamilika


Msanii wa Nigeria, Davido amepost kipande cha video kinachomuonyesha akiwa kwenye klabu moja ya usiku huko Atlanta akiwa na staa wa Marekani, Trey Songz wakiashiria ule wimbo wao walioahidi kuwa upo tayari.
trey-n-dav
Kwa mara ya kwanza Davido alionana na Trey Songz nchini Nigeria, Disemba mwaka jana staa huyo alipotembelea nchi hiyo kwa ajili ya kufanya show kwenye tamasha la Rhythm Unplugged, lakini kwa sasa wameonekana kukamilisha ahadi ya wimbo wao walioahidi kufanya collabo mbele ya mashabiki wa Nigeria.
Inadaiwa kuwa jina la wimbo huo ni ‘Won Le Ba’ na umeandaliwa na mtayarishaji wa muziki, Shizzi. Davido amekuwa kimya bila ya kutoa wimbo wowote tangu aliposaini dili na kampuni ya Sony Music, Januari 21 mwaka huu.
Tazama video hapa.

Video: BeyoncĂ© – Sorry



Hii video mpya ya BeyoncĂ© “Sorry” kutoka kwenye album yake mpya ya “LEMONADE” ambayo imeshauza kopi milioni moja na huu wimbo “Sorry” ulipa umaarufu sana baada ya album kutoka kutokana na mashairi ya kumchana mume wake.

Video: 50 Cent Ft. Chris Brown – No Romeo No Juliet



50 Cent and Chris Brown are back at it again. After teaming up in the video for “I’m the Man (Remix),” the two hit the strip club for their latest collaboration, “No Romeo No Juliet

Wednesday, 22 June 2016

Miji/Nchi PICHA 10: Ubunifu wa ujenzi wa nyumba za kisasa


Mtu wangu wa nguvu kama ni mtu ambaye unapenda ubunifu katika masuala ya ujenzi wa nyumba za kisasa, naomba nikusogezee picha za ubunifu wa nyumba mbalimbali, unaweza usiweze kujenga ya aina kama hiyo lakini ubunifu wake unaweza kukupa mawazo ya kubuni nyumba yako kulingana na kipato chako.
Sio vibaya ukiacha comment yako umevutiwa na ipi kati ya hizi
Fairhaven-Residence-Great-Ocean-Road-Victoria-John-Wardle-Architects-2
Hiki ni chumba cha kulala hakina kitu chochote zaidi ya kitanda
CM-Rameshs-Residence-is-one-of-the-best-Houses-in-Country-2
Sebule
166913-344ddc34-aa8d-11e3-9a89-1de6a43f024e
2
HUHH2015-Glass-Houses_Haena-HI_3.jpg.rend.hgtvcom.966.644
maxresdefault
Sehemu kubwa ya ujenzi wa nyumba hii imetawaliwa na vioo
britains-best-homes-136401450536803901-151104144927
Hebil-157-Houses-designrulz-036
000-birchgrove-house-nobbs-radford-architects
NILIPO KWENDA KWENYE DARAJA LA KIGAMBONI LINALOJENGWA JUU YA BAHARI

EXCLUSIVE: Leo Naj kapatikana na kaongea kuhusu ujauzito wa Baraka da Prince


June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea mbele ya AyoTV
Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisaNaj
Zaiti mtazame kwenye hii video hapa chini…

Video: ‘Kama WCB wangenipa Nyumba na Gari nisingejiunga nao’ Rich Mavoko



Perfecto TV wanatuunganisha na stori zote za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines June 22 2016 na moja kati ya stori za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hii ya Rich Mavoko kaeleza kama lebel yake mpya ya WCB wangetumia njia ya kumpa Gari na Nyumba asingejiunga nao, Pia usisahau kuniacha comment yako hapa.
Kikubwa ambacho mimi nimeangalia ni biashara yangu kufika sehemu fulani, unajua ukifanya kazi na watu kuna vitu wanapata na kuna vitu ambavyo vinabadilika kwenye biashara wangekuja kwenye njia ya kunipa gari na nyumba kusema kweli nisinge saini, unajua kama kijana unatakiwa kuishi kwa malengo‘>>>Rich Mavoko

Ufafanuzi wa Rais Magufuli kuhusu usitishwaji wa ajira Serikalini

June 22 2016 Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amehutubia katika Jubilei ya miaka 50 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) iliyofanyika katika ukumbi wa Benki hiyo, mtaa wa Mirambo Jijini Dar es salaam.
Katika hotuba yake Rais  Magufuli amesema serikali imeamua kusimamisha kwa muda mfupi usiozidi miezi miwili zoezi la utoaji ajira mpya na upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma kwa lengo la kupisha uhakiki wa watumishi wa umma katika orodha ya malipo ya mshahara na kuondoa watumishi hewa.
Rais Magufuli amesema zoezi hilo halina nia ya kuwakatisha tamaa watumishi wa umma na amewahakikishia watumishi wote wa umma kuwa serikali itaendelea kuajiri watumishi wapya na kuwapandisha vyeo waliopo kama kawaida mara baada ya kukamilika kwa zoezi, Rais Magufuli amesema……….
>>>’Serikali ninayoiongoza haina nia ya kuwakatisha tamaa wafanyakazi, lengo lake ni kujipanga kwa makosa tuliyoyafanya, na ndio maana nimesema kwa kipindi cha mwezi mmoja hivi au hata mwezi mmoja na nusu, haitazidi miezi miwili, tusiajiri mtumishi yeyote serikalini’
>>>’katika kipindi cha mwezi mmoja hatutawapandisha vyeo wafanyakazi, ninaomba wafanyakazi waelewe hili, kwa sababu tukiendelea tutakuwa tunawapandisha vyeo hata wafanyakazi ambao hawapo, tunafanya ukaguzi wote tukishamaliza wafanyakazi wataendelea kupandishwa vyeo” amesema Rais Magufuli’:-Rais Magufuli
ULIKOSA HII YA RAIS MAGUFULI ALIVYOKWENDA BENKI KUU BILA KUWATAARIFU ? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Hii video mpya ya BeyoncĂ© ‘Sorry’ itazame hapa.


Hii video mpya ya BeyoncĂ©  “Sorry” kutoka kwenye album yake mpya ambayo imeshauza kopi milioni moja LEMONADE
Wimbo huu wa “Sorry” ulikuwa maarufu sana baada ya album kutoka kutokana na mashairi ya kumchana mume wake yaliyomuhusu “Becky with the good hair

Video: Yemi Alade – Koffi Anan

2015 & 2016 BET Awards nominee Yemi Alade premieres the Dance visual as the music video for her afro-pop dance anthem “Koffi Anan”. The Philkeyz produced track is the bonus of her sophomore album “Mama Africa: The Diary of an African Woman” released under Effyzzie Music Group. The energetic clip is directed by Paul Gambi

Video: Ronaldo alivyo itupa mic ya mwandishi kwenye maji




Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo arusha kipaza sauti cha mwandishi wa habari wa televisheni ya CMTV ndani ya maji baada ya kutaka kufanya nae mahojiano naye.
ronaldo
Ilikua leo asubuhi huko Ufaransa kwenye michuano ya EURO 2016 saa kadhaa kabla ya Ureno kukipiga na Hungary uwanjani, Ronaldo alipoulizwa kuhusu utayari wake kwenye hiyo game hakujibu chochote badala yake akaichukua microphone ya Mwandishi na kuitupa kwenye maji.
Ronaldo ambaye haja fanya vizuri katika michuniano hiyo amekosa penalti na nafasi nyingi katika mechi dhidi ya Austria ambapo walitoka sare ya 0-0 na kuiweka timu hiyo (Austria) kileleni katika kundi F
Hata hivyo, ushindi wa leo inatarajiwa kuiweka Ureno katika nafasi ya kwanza kwenye kundi lao na pointi 5 nyuma ya Hungary ambao watakuwa na pointi 4.