HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 24 June 2016

Chris Brown ashtakiwa na meneja wake kwa madai alimdunda


Chris Brown amezishika tena sharubu za jela baada ya kudaiwa kumpiga meneja wake.
chris-brown-mike-g
Meneja wake Mike G ameenda kortini kwa madai ya kumpiga ngumi usoni na shingoni bila hata kumfanya kitu, kwa mujibu wa TMZ. Anadai ilibidi apelekwe kwenye chumba cha dharura kufuatia tukio hilo.
10724992_343545055850262_883632253_n
Kwenye mashtaka hayo, Mike ameongeza kuwa Brown alimkejeli kwenye mitandao ya kijamii na kujisifia kwa alichomfanyia na kuwaambia wenzake kwenye ziara kuwa atawapiga kama meneja wake kama watamzingua.
Mike anadai kuwa tabia ya Chris imetokana na madawa na kwamba ana wasiwasi kuwa anaweza kulipiza kisasi na marafiki zake wahuni. Brown alijibu madai hayo na kusema kuwa alimfukuza kazi Mike G kwa kuiba fedha.
“Ni**as is getting mad and filing lawsuits because I fired them because they’re stealing money,” alisema kwenye Instagram. “You’re stealing money, pal. So you’re mad because you’re no longer existent. It’s alright. We’re gonna keep pushing. God bless you. Wish you the best of luck.”
In another clip, he says he isn’t going to “entertain it.”
Kwenye video nyingine Chris anasema: Nobody comes out clean in a shit-throwing contest. And I can throw a big piece of shit. I’m talking about massive chunks. I’m talking elephant shit mixed with donkey shit and there might even be a little bit of rabbit pebbles. I can throw a big piece of shit, but we not gonna play these games. We gonna let these people do what they do. I’ma keep getting this money.”
Mike G aliajiriwa mwaka 2012 kusaidia kusafisha jina la CB baada ya tukio la kumpiga Rihanna.

No comments:

Post a Comment