HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 24 August 2016

VIDEO & PICHA : Uwezo wa gari linalojiendesha litakalozinduliwa rasmi mwakani

Gari hii ina uwezo wa kuhisi pale ambapo kitu chochote au mtu anapita mbele yake na likasimama lina uwezo wa kutumia sauti kama njia ya kumpa mtu taarifa, siti za mbele zina uwezo wa kuzunguka na kugeukia upande wa nyuma endapo watu watajisikia kupiga story kwa kuangaliana.
Gari hiyo itazinduliwa rasmi na kuanza kuuzwa kwa matumizi binafsi kama magari mengine rasmi mwaka 2017, unaweza kuangalia picha hizi hapa chini
Mercedes-Benz-F-015-2017-Engine
maxresdefault
mercedes-benz-f-015-lim-detroit-11
The Mercedes-Benz F 015 Luxury in Motion.
mercedes_benz_f015_ap
2017-Mercedes-Benz-F-015-Release-Date
2017-Mercedes-Benz-F-015-Interior
mercedes-benz_f015_interior-2-100539060-orig
unaweza itazama video ya gari hili hapa chini 

Tuesday, 23 August 2016

Diamond Platnumz na Ali Kiba kwenye tuzo za Afrima 2016,wanashindania ‘Best Male Artist in Eastern Africa’.


Tuzo za AFRIMA 2016zimewania na Tanzania imeweka mastaa tofauti akiwemo Diamond na Ali kiba. Tuzo hizi zitatolewa November 2016 mjini Lagos, Nigeria.
Diamond Platnumz na Alikiba watachuana mwaka huu kuwania kipengele cha Best Male Eastern Africa kwenye tuzo hizi za All Africa Music [Awards] 2016.
Diamond na Ali Kiba wana wania tuzo hizi pamoja na mastaa kama Bebe Cool, Eddy Kenzo, Jose Chameleone na Navio wa Uganda.
tz 1 tz 2

Picha ya gari ya Raymond wa WCB aliyopewa na Diamond kwenye birthday yake.



Rayvanny aka Raymond amepewa gari mpya aina ya Rav4 na bosi wake wa WCB Wasafi Diamond Platnumz kama zawadi kwenye siku yake ya kuzaliwa.
Raymond aliandika maneno haya kuhusu zawadi hii >>Kweli Nimeamini Mungu Hana upendeleo.nilikua mtu nilie jikatia tamaa ndani ya miaka takribani mi nne nilikua nikiangaika na muziki wangu nakushukuru sana sana kaka Lao @diamondplatnumz Umenifundisha vitu vingi saaaaaanaaa hadi leo naiona njia boss wangu @babutale Ni mwaka wa tano sasa toka Umenijua umenivumilia kwa mengi hadi leo hii haujanichoka na unanisaidia kwa moyo mmoja.boss @sallam_sk Asante sana kwakupigania kila siku thamani ya muziki wangu nakuakikisha nafika sehemu nzuri @mkubwafellatmk wewe ni zaidi ya mzazi maana umenilea nakunifundisha meeengi kwenye muziki @madeeali Sitoacha kukushukuru kaka lao wewe nikioo naamini unafurahi kuniona mdogo wako hapa nilipo maana unanijua saaaaanaaaa…ASANTENI SANA SANA SANA SANA MUNGU PEKEE NDIE ATAKAE WALIPA KWA WEMA HUU PESA PEKEE HAITOSHI #Godisgoodallthetime
Sherehe ndogo ilifanyika nyumbani kwa Diamond, hii ndio gari alilopewa
raymond

VideoMpya: Tekno ameachia hii video mpya ya ‘PANA’


Good news kwa mashabiki wa mkali wa hit song ya DURO, Tekno kutoka Nigeria ambao wamekua wakiisubiri kwa hamu video ya PANA ambayo audio yake inazidi kufanya vizuri kwenye radio kwa sasa. Nyimbo zake zimezidi kumuweka katika chati na kumuongezea mashabiki wengi Tanzania kutoka Duro, Wash, Where na sasa Pana.
Unaweza kuicheki hapa chini mtu wangu>>>

Alikiba alivyoingia kwa surprise kwenye tamasha la Fiesta Mwanza

Ni August 20, 2016 ambapo wakazi wa mkoa wa Mwanza walipata burudani kali kupitia tamasha la Fiesta ambalo liliwakutanisha wasanii wa Bongo Fleva na mkali kutokea Nigeria Wizkid kwenye jukwaa moja viwanja vya CCM Kirumba.
Sasa miongoni wasanii waliotoa burudani jukwanii ni hii ya Alikiba alivyoingia kwa suprise huku watu hawakutegemea kama hata ni miongoni mwa watakapanda jukwaani.
Itazame hii video hapa
ULIKOSA ALICHOKISEMA BARAKA DA PRINCE KUHUSU WALIOSEMA AMESHINDWA KUONGEA KIINGEREZA BASI MSIKILIZE HAPA

Monday, 22 August 2016

Binti wa Miaka 19 Aliye Tembea na Wake za Watu Ndiye Huyu Hapa

Picha10:Msichana anayeongoza kupiga selfie kwenye maeneo hatarishi zaidi duniani

Kwa muda sasa watu wamekua wakipendelea kupiga picha kwa mtindo wa ‘selfie’ na imekuwa ni kitu cha kawaida lakini kilichoishangaza dunia ni aina ya selfie ama picha anazopiga mrembo huyu kutoka Russia, Angela Nikolau ambaye amejipatia umaarufu kupitia picha hizo.
Angela Nikolau ameonekana akipozi katika madaraja marefu, mapaa ya nyumba, majengo marefu sana huko Moscow, Hong kong na China. Picha zake zimekua na utofauti mkubwa kwani amekuwa akizipiga katika maeneo ambayo watu wengi hawawezi kuthubutu.
ang
ggg
jdbgf
angela
kama
kamau
kamauuu
kimau
kmau
kmauuuu
ULIIMISS KUONA WIZKID ALIVYO PERFORM FIESTA MWANZA 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Diamond adai alikuwa muuza mitumba ‘nilikuwa najipitisha kwa Bob Junior na AliKiba ili wanunue’



Mkali wa wimbo ‘Kidogo’ Diamond Platnumz amefunguka na kueleza jinsi alivyoweza kupambana na biashara ndogo ndogo ya kuuza mitumba wakati anatafuta njia yakutoboa.
Diamond
Muimbaji huyo amesema Bob Junior na Ali Kiba ni moja kati watu ambao alikuwa anapenda kuwaonyesha mara kwa mara biashara yake.
“Unajua mimi nilikuwa nakutana sana na BOb Junior pale kwao ilipokuwa ‘studio’ kwa sababu nilikuwa nauza nguo maeneo yao pale, sasa yeye alikuaga anapita na akina Ali pale nawaonyesha onyesha nguo najua hawa ma brazameni ili mimi nipige hela,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EATV.
Kwa sasa Diamond ni mmoja kati ya msanii mwenye mafanikio makubwa katika muzuki nchini Tanzania.

Vijana wa WCB wamechia video mpya ya Dance ya wimbo “Kidogo”, wa Diamond Platnumz amewashirikisha Psquare. Tazama hapa chini hiyo video alafu toa maoni yako.

Sunday, 21 August 2016

Maneno ya Diamond Platnumz yanayoashiria ujio wa mtoto wake wa pili….

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya>>>Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’
Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia Muruaaaaaaaaaaaaaaaa😊😄😍😚😍…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa Kwio😊😆 😘😍💞💕💝 Mi nampenda huyu dada’ Diamond Platnumz
ULIIKOSA HII YA USIKU WA BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

VIDEO: Mchekeshaji Eric Omondi kwa wanaotaka kuwa kama Diamond nilazima kutimiza yafuatayo

Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, leo katusogezea mambo muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama star wa bongo flava Nasseb Abdul maarufu kama Diamond Platnumz.
Unaweza kumtazama Omondi kwenye hii video hapa chini…

Diamond Platnumz - MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA GROUP (JOSEPHKUSAGA) ATEMBELEA WCB WASAFI

FIESTA SHOW 2016 MWANZA WIZKID, ALIKIBA, RAYMOND, WEUSI,

13649337_2095409367351308_1190666608_n





fiester 2016 mwanza

Olimpiki: Brazil washinda medali ya dhahabu soka, Semenya aitoa kimasomaso SA

Neymar alimwagika machozi ya furaha baada ya kuisaidia Brazil ishinde medali ya dhahabu ya soka kwa mikwaju 5-4 dhidi ya Ujerumani, baada ya timu hizo kutoka suluhu kufuatia muda wa nyongeza, Jumamosi.
37720FE000000578-3750855-image-a-63_1471738393733
Brazil imewahi kupoteza kwenye fainali za Olimpiki mara tatu kabla, 1984, 1988 na 2012 – lakini hatimaye wamewapa furaha mashabiki wa mchezo huo waliohudhuria kwenye uwanja wa Maracana.
Neymar ndiye aliyefunga bao la kwanza katika dakika ya 22 kwa free kick kali lakini Ujerumani ikasawazisha kupitia nahodha, Maximilian Meyer.
Ushindi wa Brazil ni kisasi dhidi ya Ujerumani iliyowadhalilisha kwenye kombe la dunia mwaka 2014 kwa kuwafunga mabao 7-1.
Kwa upande wa Afrika Kusini, mkimbiaji Caster Semenya amewatoa kimasomaso kwa kushinda mbio za mita 800 na kushinda medali ya dhahabu.
bee5800101b4442bb86e27a69a69ec2a
Medali hiyo ya Semenya imeifanya SA iondoke na medali 10 kwenye michuano hiyo. Pia baada ya ushindi huo, Semenya alithibitisha kwa mara ya kwanza kuwa alimuoa mwanamke mwenzake, Violet Raseboya.
“Of course I’m happy. That’s what happens when you get married.”