HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday 4 February 2017

VideoMPYA: Ladies and gentleman tunae Ben Pol na video mpya ‘Phone’


video mpya ya staa wa RnB Tanzania Ben Pol ambae round hii yuko na Mnigeria Mr Eaz kwenye single inaitwa ‘Phone‘ ambayo audio yake tuliipokea January 2017.
Leo ni zamu ya video na ukishaitazama usiache kuandika comment yako mtu wa nguvu ili Ben akipita ajue watu wake wanasemaje.

Friday 3 February 2017

New Video: Diamond Platnumz f/ Ne-Yo – Marry You

 Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo