HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday 22 July 2016

PICHA 6: Magari yanayotumia umeme yaanza kutumika Afrika Mashariki

Hii imeripotiwa na BBC swahili kuwa magari yanayotumia nguvu za umeme yameanza kuuzwa Afrika Mashariki kwenye  nchi ya Kenya kwa mara ya kwanza. Magari hayo hayatumii mafuta hata kidogo hii ikiwa na maana kwamba hayatoi moshi au gesi zinazochangia ongezeko la joto duniani kwa hivyo yanafaa mazingira.
Msimamizi wa kampuni Knights Energy inayohamasisha watu watumie magari ya aina hiyo, Francis Romano amesema…..>>>”Watu wengi wamekuwa wakiduwazwa na gari hili mitaani hapa jijini Nairobi na wengi wamependezwa nalo’
Bei ya gari hilo aina ya Nissan Leaf ni dola za kimarekani 10,000 ambazo ni kama Tsh milioni 21.88
160722101436_electric_car_kenya_1_640x360_bbc
Katika taarifa hii ya BBC swahili imeainisha baadhi ya faida za matumizi ya gari hilo kuwa ni pamoja na mwenye gari kutoathiriwa na kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta pia linaendeshwa kwa njia karibu sawa na gari la kawaida.
Aidha imeelezwa kuwa gari hilo lina uwezo wa kusafiri umbali wa takriban kilomita 90 hadi 135 kabla ya betri zake kuisha chaji, kasi yake ya juu zaidi ikiwa kilomita 180 kwa saa.
160722101622_electric_car_kenya_2_640x360_bbc
Kuna baadhi pia ya changamoto ambazo mtu anaweza kukutana nazo kutumia gari hilo ambazo ni pamoja na ukosefu wa vituo vya kuchaji gari hilo na pale ambapo mtu amekwama akiwa katika maeneo ya mashambani ambapo hamna nguvu za umeme au pia vituo vya kuweka chaji.
160722102314_electric_car_kenya__3_640x360_bbc
Gari hilo lina chaji tatu, ya kwanza ina uwezo wa kuweka chaji kikamilifu kwa muda wa saa nane, ya pili ina uwezo wa kuweka chaji kwa takriban saa nne, huku ya tatu ikiwa na uwezo wa kuweka chaji kwa kati ya takriban dakika 15 na saa mbili.
160722102514_electric_car_kenya__5_640x360_bbc 160722102727_electric_car_kenya_7_640x360_bbc

Thursday 21 July 2016

Video: Wiz Khalifa Feat. Lil Uzi Vert – Pull UWiz Khalifa and Lil Uzi Vert put the pedal to the floor in the video for “Pull Up.”

The ode to driving in Los Angeles features the Taylor Gang boss and XXL Freshman in the City of Angels, singing and rapping about making money, shining on ’em, and having gas in the tank.

watu 6 wenye silaha Afrika Kusini

Alikiba na Barakah Da Prince wavamiwa na



Alikiba na Barakah Da Prince wamevamiwa na majambazi jijini Johannesburg, Afrika Kusini Alhamis hii.
Kiba na Barakah
Wawili hao waliwasili nchini humo asubuhi ya jana walikoenda kufanya kazi mbalimbali ikiwemo kushoot video zao.
“Wote Alikiba na Barakah the Prince walikuwa pamoja na timu kwaajili ya mkutano wa utayarishaji kwenye ofisi zilizopo maeneo ya katikati za kampuni maarufu ya Afrika Kusini wanayofanya nayo kazi,” yamesema maelezo rasmi kutoka uongozi wa Rockstar4000.
“Wakati wakiendelea na mkutano, watu sita waliokuwa na bunduki walivunja kuta za jengo la ofisi hiyo na kuingia walipokuwa Alikiba, Barakah The Prince na wengine,” yamesema.
“Watu hao wakiwa na bunduki zao waliwapora mali zao na vitu vingine vilivyokuwemo ofisini humo. Hata hivyo tunafurahi kuripoti kuwa si Alikiba, Barakah The Prince wala timu imejeruhiwa kwa namna yoyote ile,” yamesisitiza maelezo hayo.
“Wote Alikiba na Barakah The Prince wanapenda kuwahakikisha mashabiki wao kuwa wako salama na wanapumzika kwa siku moja kusahau tukio hilo baya lakini wamenuia kuendelea na miradi yao na hawatazuia kutoa miradi yao ijayo iliyopangwa kwaajili ya mashabiki wao Afrika na duniani kote.”
“Alikiba na Barakah The Prince wamepanga kuendelea na miradi yao iliyopangwa kufanyika Afrika Kusini hadi itakapokamilika.”
Barakah amemshirikisha Alikiba kwenye wimbo wake, Nisamehe na jana walipost video akiwa na muongozaji wa video, Meji Alabi.

PICHA 15: Boti zinazotumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar)

Duniani

Mtu wangu wa nguvu sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo June 21 2016 nikakutana stori ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani,Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss.
 Mtu wangu nakusogezea picha za boti hizi ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako  hapo chini.
1. Boti hii inayotumika Uswiss
switzterland
2. Boti hizi zinatumika  Australia 
aa
australia
ck63
3. Boti hizi zinatumika  Marekani
Sun21 with Manhattan Skyline
ameme
4. Boti hii inayotumika India
india
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
TΓ›RANOR-PlanetSolar-Catamaran-1-706x369
tt
ttt
tttt
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
ufaa
ufa
ufaaa
ufafa

Wednesday 20 July 2016

Orodha ya wanachuo wanaorudi kusoma stashahada maalum ya ualimu UDOM


Majina ya wanachuo waliokuwa wanasoma stashahada maalum ya ualimu chuo kikuu cha Dodoma waliopangiwa kurudi kwenye chuo hicho.
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_01
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_02LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_04
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_05
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_06
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_07
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_08
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_09
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_10
LIST OF SELECTED STUDENT - UDOM_Page_11

Monday 18 July 2016

okate ameamua kusifia kitu hiki kutoka kwa Diamond..


Kwenye zile post ambazo zimepata likes nyingi na comment nyingi ni pamoja na hii ya Jokate ambayo kapost kipande cha video ambacho kinamuonyesha Diamond Platnumz akifanya mazoezi ya kucheza ya wimbo wake mpya wa Kidogo.
CHIBUKwenye kumbukumbu za wasichana ambao Diamond anahusishwa kutoka nao ni pamoja na Jokate ambaye kwa muda kidogo amekua akitajwa kutoka na Alikiba.
jokatePost hiyo Jokate aliyopost instagram kasindikiza na maneno yafuatayao >>‘You just took choreography ya East African tracks to another sphere, inspirational is an understatement. Moves za kwenye huu wimbo πŸ™ŒπŸ½. I can’t even hate‼️Naendelea kusubiri siku utakayo fanya kazi na team kiba tho- kiroho safi 😊. Hongera kwa kazi nzuri dogo @diamondplatnumz πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯.

TCU yatoa sifa mpya kujiunga na vyuo vikuu









Headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, UTayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya habari zilizoandikwa kwenye magazeti ni hii ya kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘TCU YATOA SIFA MPYA KUJIUNGA VYUO VIKUU’
Gazeti hilo limeandika kuwa Tume ya vyuo vikuu Tanzania ‘TCU‘ imetangaza utaratibu mpya kwa watahiniwa wa mwaka mpya wa masomo wa 2016/2017 wanaochukua shahada, huku wanafunzi wengi  wakiwa hatarini kukosa nafasi ka kukosa sifa na vigezo.
Utaratibu huo mpya umekuja ikiwa ni miezi miwili sasa tangu kutumbuliwa kwa watendaji wa tume hiyo kutokana na kudahili wanafunzi wasio na sifa na kusababisha kupewa mikopo na bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.
Sifa hizo zilizowekwa mapema wiki hii katika tovuti ya TCU na kurudiwa jana, Moja ya sifa zinazotakiwa katika udahili wa mwaka huu wa masomo ni wahitimu wa kidato cha sita waliomaliza kabla ya mwaka 2014 kuwa na ufaulu wa ‘D mbili’ pointi 4.0. Mchanganuo ulionyesha kuwa pointi hizo zinatokan na ufaulu wa A=5; B=4; C=3; D=2; E=1.
Taarifa hiyo iliyoonyesha kuwa wahitimu wa kidato cha sita kwa mwaka 2014 na 2015 ili wawe na sifa za kudahiliwa z, watatakiwa kuwa na alama za ufaulu wa ‘C mbili’ pointi 4.0 kupitia mchanganuo wa A=5; B+=4; B=3; C=2; D=1.
Kupitia tovuti hiyo iliyoonyesha kuwa wahitimu waliomaliza kidato cha sita kwa mwaka huu watahitajika kuwa na ufaulu wa alama ‘D mbili’ 4.0 kupitia mchanganuo wa A=5; B=4; C=3; D=2; E=1.
Mbali na sifa hizo, watakaodahiliwa ni wale ambao pia watakuwa na utambulisho wa sifa za kielimu za kidato cha nne ambazo ni kuanzia alama nne ambazo ni D na kupanda juu katika mchanganuo wa alama za ufaulu wa B+, ikiwa A=75-100, B+=65-74, B=50-64, C=40-49, D=35-39, F=0-38.
Sifa nyingine zinazotakiwa ni wenye cheti cha NVA daraja la tatu pamoja na ufaulu wa si chini ya alama nne au sifa nyingine zinazokaribiana na hizo, ikiwa ni pamoja na zinazotambuliwa na baraza ka Taifa la mitihanai ‘NECTA’ na mafunzo ya ufundi ‘VETA’ 
Watahiniwa hao watatakiwa kuwa na angalau GPA ya 3.5 kwa stashahada ‘NTA’ daraja la sita au wastani wa B kwa cheti cha ufundi ‘FTC’ katika mchanganuo wa alama A=5, B=4, C=3 na D=2 au wastani wa daraja la B+ kwa wenye stashahada za ualimu au wastani wa daraja B+ kwa kitengo cha afya kama tabibu wa magonjwa ya binadamu na nyingine au cheti na stashahada nyinginezo.
Sifa nyingine zinazoangaliwa katika udaahili huo ni kuwa na ufaulu wa daraja la pili kwa wenye stashahada zisizokuwa za NTA.

New Video: Y-Tony – Martina


Baada ya kukaa kimya kwa muda sasa, muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo ‘Masebene’ Y-Tony amerejea tena kwa kishindo na video ya wimbo wake mpya ‘Martina’ akiwa chini ya uongozi wa kampuni ya Fresh Code Entertainment. Video hii imeongozwa na Pizzo Mtema.

Video,Diamond Platnumz na crew,wakati wanajitayarisha kushoot kipande akiwa na simba kwenye kidogo Ft P Square.

Hichi ni kipande kidogo kutoka WCB Wasafi kinachoonyesha muda mfupi kabla Diamond hajashoot kipande akiwa na simba kwenye video ya KIDOGO Na P Sqaure.

Hii video mpya ya M.I.A. ‘Go Off’ Enjoy.

Anatajwa kuwa miongoni mwa wasanii wabunifu sana kwenye muziki duniani, M.I.A , hii video yake mpya  ‘Go Off’ enjoy. Wimbo huu upo kwenye album ya M.I.A iliyopewa jina A.I.M., itakuwa sokoni Sept. 9.