Duniani
Mtu wangu wa nguvu sayansi na teknolojia inazidi kukua kwa kasi na katika pitapita zangu leo June 21 2016
nikakutana stori ya boti za solar . Boti hizi kutumia umeme wa mionzi
ya Jua (Solar Power) katika nchi mbalimbali duniani ikiwemo Marekani,Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss.
Mtu wangu nakusogezea picha za boti hizi ili na wewe ujionee pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini.
1. Boti hii inayotumika Uswiss2. Boti hizi zinatumika Australia
3. Boti hizi zinatumika Marekani
4. Boti hii inayotumika India
5. Boti hii iliotengenezwa na wajerumani na planet solar company ni boti kubwa Duniani yenye uwezo mkubwa wa solar power na sehemu ya juu imefunikwa na vipande vya solar.
6. Boti hizi zinatumika kama boti za mashindano Ufaransa
No comments:
Post a Comment