HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 20 August 2016

Video/Picha: China wajenga daraja refu zaidi la kioo


Daraja refu zaidi duniani ambalo sakafu yake ni kioo litafunguliwa katika mji wa Zhangjiajie katika mkoa wa Hunan nchini China wikendi hii.
_90842334_hi033706107
Daraja hilo ndilo la juu zaidi lenye sakafu ya kioo duniani na linaunganisha milima miwili ambayo hufahamika kama Milima ya Avatar. Filamu ya Avatar iliandaliwa katika milima hiyo.
Ujenzi ulikamilika Desemba mwaka jana. Urefu wa daraja hilo ni 430m na liligharimu $3.4m (£2.6m).
Daraja hilo limewekwa 300m juu ya ardhi, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali la Xinhua.
Sakafu yake imeundwa kwa vipande 90 vya vioo ambavyo vina tabaka tatu.
Kwa mujibu wa maafisa wa serikali, daraja hilo lenye upana wa mita 6, ambalo mchoro wake uliandaliwa na msanifu mijengo kutoka Israel Haim Dotan, tayari limeweka rekodi kadha za dunia katika usanifu mijengo na ujenzi.
Hili ni suala kuu. Lakini maafisa wameandaa hafla za kudhihirisha uthabiti wake. Maafisa walituma watu wenye nyundo kujaribu kuvunja vioo. Pia magari yaliyojaa abiria yalipita juu yake mapema mwezi huu.
zsb
slide_430268_5583440_free - Copy
slide_430268_5583438_free - Copy

Zijue sababu za kwa nini tunazima simu ndege inapotaka kupaa na kutua


Najua kama ni mtumiaji wa usafiri wa ndege utakuwa umekutana na taratibu za abiria kuzima simu wakati ndege inataka kupaa na kutua ila huenda ikawa hufahamu ni kwanini haswa unatakiwa kufanya hivyo, na inawezekana ulishajiuliza pia ina maana usipozima unaweza kusababisha ndege kupata ajali? jibu ni Hapana, isipokuwa unaweza kusababisha muingiliano wa mawasiliano kati ya rubani na waongozaji.
Vibrations au miungurumo ya simu na vifaa vingine vya electronics vinahusika kwa kiasi kikubwa kuvuruga mawasiliano mazuri kati ya rubani na wanaomuongoza, hivyo huwa tunashauriwa kuzima simu na vifaa vingine vya electronics wakati wa kupaa na kutua kwa ndege. Hiyo ni moja kati ya sababu kuu zilizotajwa kuhusiana  na  swali la ”Kwanini tuzime simu wakati ndege inaporuka na kutua”?.

PICHA 10: Imetolewa list ya miji 10 Duniani ambayo ni bora zaidi kwa kuishi


Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani ambayo ni bora na inafaa zaidi kushi kwa 2016. 
Ripoti ya utafiti huu imetolewa August 18 2016 ambapo utafiti ulizingatia mambo 30 ambayo yanayohusisha usalama, huduma za afya, rasilimali za elimu na miundombinu. Ripoti imeonyesha kwa mwaka wa sita mfululizo, mji kutoka Australia umeongoza kwenye miji bora zaidi kwa kuishi Duniani. 
Aidha ripoti hiyo imeonyesha mji wa Lagos, Nigeria umekuwa nafasi ya tatu Duniani ya miji mibaya kwa kuishi.
10. Hamburg, Germany
1
9. Helsinki, Finland
9
8. Auckland, New Zealand
8
7. Perth, Australia
7
=5. Adelaide, Australia
6
=5. Calgary, Canada
5
4. Toronto, Canada
4
3. Vancouver, Canada
3
2. Vienna, Austria
2
1. Melbourne, Australia
10

Picha: Wizkid akiwa na wasanii mbalimbali wa Bongo Mwanza

 

Wakazi wa Mwanza Jumamosi wanakuwa wa kwanza kupata shangwe za Fiesta huku wakimshuhudia star boy, Wizkid kwa mara ya kwanza. Hizi ni picha mbalimbali za staa huyo akiwa na wasanii wa Bongo.
13649337_2095409367351308_1190666608_n
13686930_587110988127255_1701974759_n
13643575_1665789303740252_1214563553_n
14027282_276916012691703_701258591_n
14063471_309343816087058_1408767809_n
14063591_1121030761324100_1075868762_n
14099921_313584888987364_1865634937_n
bd985e98-51d4-4015-bdbc-805f920e7b20

Picha,Cristiano Ronaldo ameanza kuliendesha lile gari lake la kifahari,The Bugatti Veyron.


Siku chache kabla ya kuanza ligi ya La Liga Cristiano Ronaldo ameanza kujitamba mtaani na lile gari lake la kifahari lenye thamani ya Pound milioni 1.7, gari hii ni Bugatti Veyron.
Ronaldo alijinunulia gari hii kama zawada, Bugatti Veyron ya Ronaldo ni toleo la 16.4 Grand Sport, ni toleo lenye speed kali sana ya kutoka 0-to-62 mph ndani ya sekunde 2.6.
v1 v2 v3 v4 v5 v6 v7
 

Friday, 19 August 2016

Wasanii wote wanaotajwa kuwania tuzo za BET Hip-Hop 2016 wako hapa,


Tuzo za hiphop za BET ziko njiani na tayari wametangaza wasanii wanaowania tuzo hizi kwenye vipengele tofauti, Kwa miaka mitatu mfululizo Drake ametajwa kuongoza kwenye vipengele vingi zaidi anavyowania msanii yoyote, Drake anawania tuzo kwenye vipengele 14 ambavyo ni kama Album of the Year, Track of the Year,na MVP of the Year.
Msanii Future anawania vipengele 10 ambavyo ni kama Album of the Year, Best Mixtape, na Made-You-Look Award kwa Best Hip-Hop Style.
DJ Khaled anawania vipengele 9 na Kanye West 8.
BET Hip-Hop Awards zinafanyika jumamosi ya  Sept. 17 kwenye ukumbi wa Cobb Energy Performing Arts Centre mjini Atlanta,na kuonekana kwenye tv Oct. 4
Orodha kamili ndio hii ya tuzo za BET Hip-Hop 2016.
Best Hip-Hop Video
2 Chainz – “Watch Out”
Desiigner – “Panda”
DJ Khaled feat. Jay Z & Future – “I Got the Keys”
Drake – “Hotline Bling”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
Kanye West feat. Rihanna – “Famous”
Best Collabo, Duo or Group
DJ Khaled feat. Drake – “For Free”
DJ Khaled feat. Jay Z & Future – “I Got the Keys”
Drake & Future – “Jumpman”
Drake feat. Wizkid & Kyla – “One Dance”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
Best Live Performer
Drake
Future
J. Cole
Kanye West
Kendrick Lamar
Lyricist of the Year
Chance the Rapper
Drake
J. Cole
Kanye West
Kendrick Lamar
Video Director of the Year
Benny Boom
Colin Tilley
Director X
Hype Williams
Kanye West
DJ of the Year
DJ Drama
DJ Envy
DJ Esco
DJ Khaled
DJ Mustard
Producer of the Year
DJ Mustard
Dr. Dre
Metro Boomin
Mike WiLL Made-It
Pharrell Williams
MVP of the Year
DJ Khaled
Drake
Future
Kanye West
Kendrick Lamar
Track of the Year
“All the Way Up” – Produced by Cool & Dre and Edsclusive (Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared)
“Controlla” – Produced by Boi-1da (Drake)
“Hotline Bling” – Produced by Nineteen85 (Drake)
“I Got the Keys” – Produced by Southside (DJ Khaled feat. Jay Z & Future)
“Panda” – Produced by Menace (Desiigner)
Album of the Year
DJ Khaled – I Changed A Lot
Dr. Dre – Compton
Drake – Views
Fetty Wap – Fetty Wap
Future –DS2
Kanye West – The Life of Pablo
Best New Hip-Hop Artist
Anderson .Paak
Bryson Tiller
Chance the Rapper
Desiigner
Tory Lanez
Hustler of the Year
DJ Khaled
Drake
Future
Jay Z
Kanye West
Made-You-Look Award (Best Hip-Hop Style)
A$AP Rocky
Drake
Future
Kanye West
Nicki Minaj
Best Mixtape
Chance the Rapper – Coloring Book
French Montana – Wave Gods (Hosted By Max B)
Future – Purple Reign
Lil Uzi Vert – Lil Uzi Vert Vs. The World
Young Thug – Slime Season 3
Sweet 16: Best Featured Verse
2 Chainz – “No Problem” (Chance the Rapper feat. Lil Wayne & 2 Chainz)
Drake – “Work” (Rihanna feat. Drake)
Kendrick Lamar – “Freedom” (BeyoncĂ© feat. Kendrick Lamar)
Kodak Black – “Lockjaw” (French Montana feat. Kodak Black)
Nicki Minaj – “Down in the DM” – Remix (Yo Gotti feat. Nicki Minaj)
Impact Track
J. Cole – “Love Yourz”
Jay Z – “Spiritual”
Jidenna – “Long Live the Chief”
Raury feat. Key – “Trap Tears”
Sir The Baptist feat. ChuchPeople – “Raise Hell”
People’s Champ Award
Desiigner – “Panda”
DJ Khaled feat. Drake – “For Free”
Fat Joe & Remy Ma feat. French Montana & Infared – “All the Way Up”
O.T. Genasis feat. Young Dolph – “Cut It”
Travis Scott – “Antidote”
Young Thug – “Best Friend”

New Video: Jidenna – Chief Don’t Run

Baada ya kupita siku 23 staa wa wimbo wa ‘Classic Man’ kutoka Marekani lakini ana asili ya nchini Nigeria, Jidenna kuachia video yake mpya, sasa msanii huyo ameachia video yake nyingine ya wimbo wake mpya ‘Chief Don’t Run’. Tazama hapa video hiyo.

Thursday, 18 August 2016

New Music: Y -Tony – Wivu Wangu



Baada ya kimya cha muda mrefu, muimbaji na hitmaker wa ‘Masebene’ Y-Tony amekuja na wimbo mpya alioupa jina ‘Wivu Wangu.’ Ni wimbo uliotayarishwa na Sheddy Clever na kwa mara nyingine unadhihirisha uwezo wake mkubwa kisauti na utunzi maridhawa.

TCRA yawaonya watumiaji wa akaunti feki za mitandao ya kijamii



Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) imewaonya watumiaji wa mitandao ya kijamii wanaojisajili katika mitandao hiyo kwa kutumia majina na taarifa za uongo.
1
Kaimu Mkurugenzi wa TCRA, James Kilaba ameyasema hayo Jumatano hii, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao ambayo inasimamiwa na kitengo cha dharura cha kuitikia matukio ya usalama kwenye mitandao hapa nchini (TZ-CERT).
Kilaba amesema, vitendo vya watu kujisajili katika mitandao ya kijamii kwa kutumia majina na taarifa zisizo sahihi, ni kosa kisheria na kwamba wanaofanya hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
“Tumeamua kuzindua kampeni hii ili kuwasaidia wananchi kuepuka makosa ya kimtandao na kuepuka kufanyiwa utapeli au wizi mitandaoni kwa sababu matukio mengi ambayo yamekuwa yakiripotiwa au kulalamikiwa yanazuilika kwa watu kupewa elimu ya matumizi sahihi ya mitandao,” alisema Kilaba.
Pia Kilaba alitoa ufafanuzi jinsi ya kutoa elimu hiyo kampeni hiyo ya kuongeza ufahamu kuhusu matumizi sahihi na salama ya mitandao, itafanyika kupitia matangazo ya redio, televisheni, magazeti pamoja na mitandao ya kijamii ambapo katika mitandao ya kijamii itajulikana kama, “Darasa mtandao”.
“Miongoni mwa mambo ambayo tutawafundisha wananchi ni kutoweka wazi taarifa zao binafsi zote katika mitandao, kubadili na kutunza neno la siri (password), kutojibu ujumbe unaosema umeshinda bahati nasibu na mengineyo mengi,” aliongea kwa msisitiza James Kilaba.

Hii video mpya ya Kid Ink Ft Jeremih & Spice ‘Nasty’ itazame hapa.


Hii video mpya ya rapa Kid Ink akiwa na rnb staa Jeremih na Spice, video inaitwa ‘Nasty’ kutoka kwenye mixtape yake ya Rocketshipshawty 2.

VIDEO: Application iliyozinduliwa kwa ajili ya kuzuia ajali barabarani


Good news ni kwamba Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na kampuni ya Makini Road Safety Foundatini imeturahisishia njia nyepesi ya kukabiliana na ajali za barabarani ambapo kwa kutumia application ya MakiniApp ambayo ukiwa nayo katika simu yako inakusaidia kujua mwendokasi wa dereva kwenye gari ulilopanda.
Nakukutanisha msemaji mkuu wa MakiniApp Irene Kidunda…>>> ‘MakiniApp hii ni application ambayo inamuwezesha mtumiaji kufahamu kiwango halisi cha mwendokasi wakati anaoutumia dereva wakati wa safari kupitia simu yake
Ikiwa dereva anatembea kwa mwendokasi usiotakiwa mtumiaji anaweza kuchukua hiyo taarifa na kuituma katika kikosi cha usalama barabarani kupitia hiyohiyo simu yake ili askari wamchukulie hatua dereva huyo‘ –Irene Kidunda
Uzuri wa kuwa na application hii ni kwamba hatakama hutakuwa na mtandao kwa muda huo bado utakuwa na uwezo wa kurekodi mwendokasi wote na kisha ukampatia askari polisi utakayemkuta barabarani na bado ikawa na msaada‘ –Irene Kidunda
Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Mohamed Minga anasemaje kuhusu hatua hii?…>>>’Tumekuwa tukitoa namba ya simu ambayo abiria wataitumia kutoa taarifa za usalama barabarani ambazo ni 0682887722 na ukituma taarifa hizo sisi tunazifanyia kazi
Tunaamini mfumo huu wa MakiniAppy utatusaidia sana kudhibiti mwendokasi na kupunguza ajali za barabarani licha ya mfumo wa tochi tuliozoea kuutumia‘ –Mohamed Minga

Wednesday, 17 August 2016

Video: Sound Sultan ft. Phyno & Flavour – African Lady

Sound Sultan’s new single African Lady featuring the hottest rapper from the Eastern part of Nigeria, Phyno and its highlife prince, Flavour – the Naija Ninjas boss artist – Sound Sultan unleashes the equally beautiful video to compliment the song.
In the video, the beauty of the African woman is showcased and highly praised, as it should be.

New Video: Eindo f/ Ice Prince & Gazu – Ebe Nile

If you are not familiar with Eindo then you will definitely be happy to be introduced to this musician who is bringing a hes own unique “groovy baby!” to African hip hop.

Video :Defferent btn iphone7 % iphone 7+

Video: Goodluck Gozbert – Nimesamehe

Msanii wa Gospel Goodluck Gozbert ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Nimesamehe

Hii video mpya ya The Game Ft Jeremih ‘All Eyez’ Itazame hapa


Rapa The Game ametoa video ya wimbo wake mpya “All Eyez” 
ikiwa ni rekodi mpya baada ya kutoa wimbo wenye kiki la kulala na Kardashians “Sauce” weekend iliyopita. Kwenye hii kazi mpya ya ‘All Eyez’ The Game yupo na rnb staa Jeremih.
Wimbo wa “All Eyez” upo kwenye album mpya ya The Game iliyopewa jina “1992” na inategemewa kutoka Sept. 30.

Monday, 15 August 2016

PICHA 8: Hoteli ya kwanza Duniani yenye msitu wa mvua itakayojengwa Dubai

Duniani

 


 

 372D0B8800000578-3736313-image-m-133_1471101020741

 

Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.

 

Baada ya mji wa Dubai kuwa kwenye headline za majengo marefu duniani, hivi karibuni Dubai itazidi kuwa eneo la kuvutia zaidi duniani ambapo zimetolewa picha za muonekano wa Hoteli ya kwanza duniani itakayojengwa Dubai na itakuwa na msitu wa mvua. Hoteli hiyo imepangwa kufunguliwa mwaka 2018 ikiwa na beach ya kutengeneza na miti ambayo itakuwa ikitoa ukungu.
372D0B8800000578-3736313-image-m-133_1471101020741 372D21D100000578-3736313-image-a-126_1471100997396 372D230D00000578-3736313-image-a-139_1471101121120 372D211400000578-3736313-image-a-137_1471101111362 372D225900000578-3736313-image-a-141_1471101126319 372E466C00000578-3736313-image-a-135_1471101105116 372E465000000578-3736313-image-a-127_1471101000441 372E466000000578-3736313-image-a-132_1471101014316

VIDEO: Mtazame Ben Pol, Linex na Barnaba walivyopanda kwenye stage moja Dar

Najua kuna watu wangu wa nguvu wao ni damdam milele na muziki wa nyumbani Tanzania, kama neno ni ‘yes’ basi haitokuwa mbaya nikikusogezea muunganiko wa mastaa wanaotokea katika soko la bongo flava hapa nazungumia Ben Pol, Linex na Barnaba walipopanda katika stage moja kwa nafasi tofauti katika viwanja vya Dar live Dar es salaam kisha kuachia burudani.
ULIIKOSA HII YA AY ALIVYOKUTANA NA WATU WAKE WA MBAGALA