HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 1 July 2016

Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba



Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.
Bongo
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.
Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude, Mr Blue, Dully Sykes, Juma Nature, Q Chief, Alikiba na wengine wengi.
Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni?
Tazama video hapa.

Ureno mdogo mdogo yatinga nusu fainali ya Euro 2016



Timu ya taifa ya Ureno imetinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Euro inayoendelea huko nchini Ufaransa baada ya kuifunga timu ya taifa ya Poland kwa mikwaju ya penati 5-3.
gareth-bale-23324
Mpaka dakika 90 zinamalizika timu hizo zilifanikiwa kufungana bao 1-1 na hivyo ziliongezwa dakika 30 ili kutimiza dakika 120 lakini hata hivyo hawakuweza kufungana.
Poland ndiyo walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika ya 2 ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji wake hatari, Robert Lewandowski nao Ureno walisawazisha goli hilo kupitia kwa mchezaji wake kinda, Renato Sanchez kwenye dakika ya 33.
Ricardo Quaresma alikuwa shujaa kwa timu yake baada ya kupiga penalti ya mwisho iliyoivusha katika hatua nyingine huku kiungo wa Jakub Blaszczykowski akikosa mkwaju wa penalti kwa upande wa Poland.
Ureno itakutana katika hatua ya nusu fainali na mshindi wa mchezo kati ya Wales na Ubelgiji.

Hii ndiyo heshima ya Diamond aliyompa Alikiba

Meneja wa Diamond, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya Wasafi Records.
Bongo
Ni muda mrefu imezungumzwa kuwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka kupelekea kuanzishwa kwa baadhi ya team za mitandaoni za kukejeli mafanikio ya msanii wa team nyingine lakini hiyo ni dalili kuwa ipo siku itabaki historia tu.
Babu Tale alipost kipande hicho cha video kinachoonyesha baadhi ya picha za wasanii wakubwa Bongo akiwemo Marehemu Bi Kidude, Mr Blue, Dully Sykes, Juma Nature, Q Chief, Alikiba na wengine wengi.
Je, hiyo inaweza ikawa ndiyo kiki ya kuikaribisha video ya wimbo mpya wa Diamond aliowashirikisha P Square ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni?
Tazama video hapa.

Thursday, 30 June 2016

Ongezeko la asilimia 18 (VAT) ya makato ya miamala ya benki kuanza Ijumaa hii (July 1)



Ijumaa hii itakuwa tofauti kwa wateja wengi wa benki nchini. Ni kwasababu benki karibu zote kuanzia July 1, zitaanza kutumia sheria mpya ya fedha ya mwaka huu iliyopitishwa na bunge la 2016/17.
6d0d9cc2-bf19-49e7-b776-984e106bd1aa
Kupitia tangazo lake kwa wateja, benki ya CRDB imedai kuwa ongezeko la asilimia 18 zitatozwa katika gharama za huduma ya benki kuanzia Ijumaa hii, July 1.
“Ongezeko hili (VAT) litakatwa kutoka katika akaunti akaunti ya na kama muamala hautapita kwenye akaunti, mteja atalipia kwa fedha taslimu, Kulingana na sheria hii, hakutakuwa na makato ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) katika riba,” imesema taarifa hiyo.
Benki ya NMB nayo imetoa taarifa hiyo kwa wateja wake.
33c0cb6b-e2cb-4ecb-b825-fc75c8a1783a
Tafsiri ya ongezeko hilo kutoka kwa mfanyakazi wa benki moja niliyemuuliza ni kuwa kama benki ilikuwa ikikata shilingi 1,000 kwa muamala unaoanzia shilingi elfu 10, kwa sasa mteja atakatwa shilingi 1,800 ambazo ni sawa na asimilia 18.

New Video: Rihanna – Sledgehammer (From Star Trek Beyond)



Video ya wimbo wa Rihanna ‘Sledgehammer’ uliopo kwenye soundtrack ya filamu ya Star Trek Beyond.

Wednesday, 29 June 2016

Nina sauti yake,Ney Wa Mitego kaongelea mahusiano yake na Miss Tanzania Lilian Kamazima.


Kupitia #FridayNiteLive na @Sammisago Ney Wa Mitego kaongelea Mahusiano na Miss Tanzania Lilian Kamazima na kuhusu uvumi kuwa ni wapenzi na anategemea kumvalisha pete ya uchumba.
https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=8pw8Dplpj4I

Monday, 27 June 2016

Orodha kamili ya washindi wa tuzo za BET 2016


Tuzo za BET 2016 Zimefanyika na Beyonce amefanikiwa kuongoza kwa kuchukua tuzo tano za BET,Tuzo zimefanyika Juni 21 kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles.
Hii ndiyo orodha kamili ya washindi.
Best Female R&B/Pop Artist
Beyonce (WINNER)
Adele
Andra Day
K. Michelle
Rihanna
Best Male R&B/Pop Artist
Bryson Tiller (WINNER)
Chris Brown
Jeremih
The Weeknd
Tyrese
Best Group
Drake & Future (WINNER)
2 Chainz & Lil Wayne
Puff Daddy & the Family
Rae Sremmurd
The Internet
Best Collaboration
Rihanna ft. Drake – “Work” (WINNER)
Big Sean ft. Chris Brown & Ty Dolla $ign – “Play No Games”
Big Sean ft. Kanye West & John Legend – “One Man Can Change the World”
Future ft. Drake – “Where Ya At”
Nicki Minaj ft. Beyonce – “Feeling Myself”
Best Male Hip Hop Artist
Drake (WINNER)
Fetty Wap
Future
J. Cole
Kanye West
Kendrick Lamar
Best Female Hip Hop Artist
Nicki Minaj (WINNER)
Dej Loaf
Lil Kim
Missy Elliott
Remy Ma
Video of the Year
Beyonce – “Formation” (WINNER)
Bryson Tiller – “Don’t”
Drake – “Hotline Bling”
Kendrick Lamar – “Alright”
Rihanna ft. Drake – “Work”
Video Director of the Year
Director X (WINNER)
Benny Boom
Chris Brown
Colin Tilley and the Little Homies
Hype Williams
Best New Artist
Bryson Tiller (WINNER)
Alessia Cara
Andra Day
Kehlani
Tory Lanez
Dr. Bobby Jones Best Gospel/Inspirational Award?
Kirk Franklin (WINNER)
Anthony Brown & Group Therapy
Erica Campbell
Lecrae
Tamela Mann
Tasha Cobbs
Best Actress
Taraji P. Henson (WINNER)
Gabrielle Union
Kerry Washington
Tracee Ellis Ross
Viola Davis
Best Actor?
Michael B. Jordan (WINNER)
Anthony Anderson
Courtney B. Vance
Idris Elba
O’Shea Jackson Jr.
YoungStars Award
Amandla Stenberg (WINNER)
Quvenzhane Wallis
Silento
Willow Smith
Yara Shahidi
Best Movie
Straight Outta Compton (WINNER)
Beasts of No Nation
Concussion
Creed
Dope
Sportswoman of the Year
Serena Williams (WINNER)
Cheyenne Woods
Gabrielle Douglas
Skylar Diggins
Venus Williams
Sportsman of the Year
Stephen Curry (WINNER)
Cam Newton
Kobe Bryant
LeBron James
Odell Beckham Jr.
Coca-Cola Viewers’ Choice Award?
Beyonce – “Formation” (WINNER)
Bryson Tiller – “Don’t”
Chris Brown – “Back to Sleep”
Drake – “Hotline Bling”
Future ft. Drake – “Where Ya At”
Rihanna ft. Drake – “Work”
Centric Award
Beyonce – “Formation” (WINNER)
Andra Day – “Rise Up”
K. Michelle – “Not a Little Bit”
Rihanna – “BBHMM”
The Internet – “Under Control”
Best International Act Africa?
Wizkid (Nigeria) (WINNER)
AKA (South Africa)
Black Coffee (South Africa)
Cassper Nyovest (South Africa)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Mzvee (Ghana)
Serge Beynaud (Cote D’Ivoire)
Yemi Alade (Nigeria)
Best International Act UK
Skepta (WINNER)
Kano
Krept & Konan
Lianne La Havas
Stormzy
Tinie Tempah

Ripoti: AKA aligoma kupanda jukwaani kwenye utoaji tuzo ya Best International Act: Africa

Drama kwenye tuzo za BET ziliendelea tena mwaka huu. Kama kawaida, Wizkid alizipa mikausho mikali kwa si tu kwa kugoma kwenda kama wengine, bali hata kuzizungumzia kabisa. Lakini imebainika pia kuwa AKA na Yemi Alade walitoa mikausho yao. Yemi hakwenda kwenye utoaji wa tuzo katika vipengele vya Best International Act: Afrika na UK. Lakini AKA yeye anadaiwa kuwa alikuwepo ukumbini hapo lakini hakupanda jukwaani kama wengine.

Video: Beyonce na Kendrick Lamar walivyotumbuiza ‘Freedom’ kupinga ubaguzi


June 26 ilikuwa ni siku ya utoaji wa tuzo za BET zinazoandaliwa na kituo kikongwe cha burudani nchini Marekani, Black Entertaiment Television, BET. Zililifanyika kwenye ukumbi wa Microsoft Theater, Los Angeles.
beyonce-and-kendrick-009
Ukiacha utoaji wa tuzo hizo huwa na wasanii mbalimbali wanaotumbuiza mbele ya maelfu ya watazamaji waliohudhuria utoaji wa tuzo hizo.
Performance iliyowashangaza wengi ni ile ya staa wa pop na R&B hit maker Beyonce alipopanda jukwaani na kutumbuiza single yake inayofahamika kama Freedom aliyomshikirisha rapper Kendrick Lamar. Ni wimbo ambao maudhui yake yamejaa hisia zenye mrengo wa kisiasa kutokana na kuripotiwa matukio mengi ya mauaji ya watu weusi yaliyofanywa na polisi nchini Marekani kwenye miaka ya hivi karibuni.
beyonce-and-kendrick-dpdpdp-008
Kwa kuonesha kuwa wanapinga ubaguzi wakati madancer wa Beyonce wanapanda jukwaani walisindikizwa na sauti ya mwanaharakati wa haki za binadamu duniani, Hayati Martin Luther King Jr ambapo sehemu ya hotuba yake maarufu iliyopewa jina ‘I Have A Dream’ ilisikika.

VideoMPYA: Yamoto Band ft Ruby “Su” imeachiwa tayari, itazame hapa

Audio ya single hii ilitoka wiki kadhaa zilizopita ila leo june 27 2016 vijana wa Yamoto Band wameachia rasmi video yao mpya ya “Su” ambayo wamemshirikisha Ruby…. ukishaitazama unaweza kuacha comment yako ili wakipita wajue mashabiki wao wanasema nini…

Tazama picha za show ya BET Awards 2016





Wikiendi hii jijini Los Angeles Marekani tuzo za BET zilitolewa na kuhudhuriwa na mastaa kibao. Beyonce, Kendrick Lamar, Alicia Keys, Usher na wengine ni miongoni mwa mastaa waliotumbuiza. Tazama picha hizi mbalimbali za show hiyo.
35B4B4CA00000578-3661440-Moguls_Snoop_Dogg_Jermaine_Dupri_Jacquees_and_Birdman_all_presen-a-171_1466999377560
35B4B11B00000578-3661440-Multi_talented_Alicia_Keys_showed_off_her_many_talents_as_she_pl-a-158_1466999376898
35B4B43E00000578-3661440-Unlikely_duo_The_legendary_crooner_was_joined_by_Tori_Kelly-a-157_1466999376896
35B4B50A00000578-3661440-Tremendous_trio_Fat_Joe_Remy_Ma_and_French_Montana_pictured_from-a-173_1466999377602
35B4BD8400000578-3661440-Back_in_black_The_43_year_old_actress_looked_stunning_as_she_spo-a-175_1466999377692
35B4BEC200000578-3661440-Stealing_the_show_Jennifer_Hudson_walked_on_stage_in_a_hooded_wh-a-176_1466999377787 (1)
35B4C08200000578-3661440-Motley_crew_Bobby_Brown_was_joined_by_his_children_and_the_cast_-a-180_1466999378058
35B4D9A100000578-3661440-Daddy_duty_Jamie_Foxx_presented_at_the_award_show_as_he_was_join-a-161_1466999376902
35B4D99C00000578-3661440-The_greatest_He_paid_tribute_to_Muhammad_Ali-a-183_1466999378253
35B4D89100000578-3661440-Paying_tribute_The_legendary_boxer_s_daughter_Laila_Ali_spoke_ab-a-162_1466999376903
35B4F8D400000578-3661440-image-m-214_1467002048937
35B4F68E00000578-3661440-image-m-209_1467001930108
35B4F62600000578-3661440-image-m-212_1467002014359
35B4F86600000578-3661440-image-m-213_1467002034516
35B46B6A00000578-3661440-Shining_star_She_was_joined_by_rapper_Kendrick_Lamar-a-169_1466999377297
35B48A9600000578-3661440-He_s_got_broads_in_Atlanta_Desiigner_performed_his_hit_single_Pa-a-181_1466999378063
35B48AE100000578-3661440-Batter_up_The_45_year_old_actress_wore_a_black_bodysuit_along_wi-a-166_1466999377200
35B51ED400000578-3661440-image-a-222_1467005919429 (1)
35B52C2F00000578-3661440-image-a-223_1467005922472
35B473BA00000578-3661440-What_a_way_to_start_a_night_Beyonce_and_Kendrick_definitely_set_-a-154_1466999376892
35B4743B00000578-3661440-Hitting_the_high_notes_It_had_been_previously_unclear_if_she_wou-a-141_1466999376869
35B4683200000578-3661440-Doing_what_she_does_best_No_doubt_the_34_year_old_singer_surpris-a-138_1466999376862
35B4742300000578-3661440-Stunner_Her_signature_blonde_highlighted_locks_were_done_in_brai-a-143_1466999376873
35B4756000000578-3661440-Period_piece_Black_ish_actors_Tracee_Ellis_Ross_and_Anthony_Ande-a-155_1466999376893
35B4766800000578-3661440-Rain_dance_Water_came_from_the_ceiling_as_the_Queen_Bey_did_her_-a-142_1466999376871
35B4769400000578-3661440-Just_you_wait_The_funnywoman_jumped_into_the_comedian_s_arms_for-a-156_1466999376895
35B5167800000578-3661440-image-m-220_1467005633010
LOS ANGELES, CA - JUNE 26:  Singer Beyonce (L) and rapper Kendrick Lamar perform onstage during the 2016 BET Awards at the Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California.  (Photo by Paras Griffin/BET/Getty Images for BET)
LOS ANGELES, CA – JUNE 26: Singer Beyonce (L) and rapper Kendrick Lamar perform onstage
during the 2016 BET Awards at the Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California.
 (Photo by Paras Griffin/BET/Getty Images for BET)
LOS ANGELES, CA - JUNE 26:  Recording artist Erykah Badu performs onstage during the 2016 BET Awards at the Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California.  (Photo by Kevin Winter/BET/Getty Images for BET)
LOS ANGELES, CA – JUNE 26: Recording artist Erykah Badu performs onstage during the 2016
 BET Awards at the Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California. (Photo by Kevin
 Winter/BET/Getty Images for BET)
LOS ANGELES, CA - JUNE 26:  Recording artist Captain Kirk Douglas (L) of music group The Roots and recording artist Jennifer Hudson perform onstage during the 2016 BET Awards at the Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California.  (Photo by Kevin Winter/BET/Getty Images for BET)
LOS ANGELES, CA – JUNE 26: Recording artist Captain Kirk Douglas (L) of music group The
Roots and recording artist Jennifer Hudson perform onstage during the 2016 BET Awards at the
Microsoft Theater on June 26, 2016 in Los Angeles, California. (Photo by Kevin Winter/BET/Getty
 Images for BET)
Jiunge na Bongo5.com sasa

Utajiri wa Diamond umefikia shilingi bilioni 8.6 (Video)



Kumekuwepo na tetesi nyingi kuhusu utajiri wa Diamond umefikia kiasi gani. Hilo ni swali ambalo hajawahi kulijibu kwa uhakika zaidi ya kutoa tu hints na kuwaacha wanaouliza kubaki na majibu yao wenyewe vichwani.
13267349_246663199026538_1940231266_n
Lakini kupitia kipindi maalum cha kituo cha runinga cha E!TV, E Vip kilichorushwa Jumapili ya June 26, tunaweza kusema walau kwa uhakika staa huyo ana utajiri mkubwa kiasi gani. Diamond ana utajiri wa dola milioni 4 za Kimarekani ambao kwa shilingi ya Tanzania ni zaidi ya bilioni 8.6.\

Kuwa Mwaafrika nchini India: Tunaonekana kama mashetani



Mwaka mmoja wa masomo nchini India umekuwa mgumu kwa  Zaharaddeen Muhammed, 27. Anasoma shahada ya pili kemia kwenye chuo kikuu cha Noida International [University]. Kwa ni nchini Nigeria.
image
Anasema watu wa huko humuona tofauti na asiyeweza kuaminiwa. “Ninaongea kihindi na mara nyingi hucheka. Lakini ninapowapa watoto wa majirani biskuti, hawakubali,” alisema kwenye kongamano la Africa-India Solidarity huko New Delhi.
Anasema baada ya mwaka mmoja, ndoto yake kubwa bado hajaitimiza: kualikwa kwenye harusi ya Kihindi. “Sijawahi kwenda nyumbani kwa mhindi yeyote kama rafiki. Hakuna aliyewahi kunitembelea,” anasema Zaharaddeen.
Mapema mwaka huu, mwanafunzi wa kike kutoka Tanzania alipigwa na kuvuliwa nguo hadharani huko Bangalore na kundi la watu wenye hasira waliokuwa wanalipiza kisasi cha ajali iliyosababishwa na mwanafunzi wa Somalia asiyemjua kabisa.
image
Zaharaddeen aliongelea tukio hilo la Bangalore: “Alikuwa akitembea tu hapo [mwanafunzi wa Tanzania]. Ingeweza kutokea kwa mtu yeyote kati yetu.”
Hata kupata vyumba vya kupanga wakati mwingine huwa mtihani kwa watu weusi nchini India.
Rohtas, dalali wa nyumba anasema huambiwa na wamiliki wa nyumba kuwa asiwaoneshe watu weusi sababu huaminiwa kuwa wanafanya biashara za madawa ya kulevya na shughuli zingine za kihalifu.
Mwanafunzi mmoja wa kike alidai kuwa si wenye nyumba tu wenye imani hiyo: “Wauzaji wa maduka huangalia fedha ninazowapa kuhakikisha kama sio feki,” anasema.
“Ni dharau na si haki. Sisi ni watu wenye furaha na wachangamfu. Lakini India tunajikuta tukiwa na hasira tu.”
Kwa upande wa Ibrahim Djiji Adam, 25 mwanafunzi wa biashara kutoka Libya anasema: Mara nyingi tunaonekana kama mashetani, wauza unga au changudoa

PICHA :Muonekano wa baadhi ya mastaa kwenye fainali tuzo za BET

Usiku wa June 26 ndio tuzo za muziki za  BET zinamalizika kutolewa  kwa mwaka 2016. Kila mtu ametokelezea kivyake mtu wangu. Hizi ni baadhi ya picha za wasanii katika Red na Gray carpet pamoja na nje ya ukumbi ambao tuzo zinatolewa Los Angeles Marekani.
moondi
Diamond
A.K.A
A.K.A
alicia keys a
Alicia Keys
dj khaleed
DJ Khaleed
JIdena                                                                                         Jiddenna
karueche
Karueche
montana
French Montana
nandii
Nandi
yemi
Yemi Alade
chriss brown
Chris Brown


NEYO
Neyo
akoni
Akon
nicky minaj & Meek Mill
Nicky Minaj & Meek Mill

KAMA ULIMISS HII KAULI YA DIAMOND KABLA YA DJ BLACK COFFEE KUSHINDA TUZO YA BET