Ripoti: AKA aligoma kupanda jukwaani kwenye utoaji tuzo ya Best International Act: Africa
Drama kwenye tuzo za BET ziliendelea tena mwaka huu. Kama
kawaida, Wizkid alizipa mikausho mikali kwa si tu kwa kugoma kwenda kama
wengine, bali hata kuzizungumzia kabisa. Lakini imebainika pia kuwa AKA
na Yemi Alade walitoa mikausho yao. Yemi hakwenda kwenye utoaji wa tuzo
katika vipengele vya Best International Act: Afrika na UK. Lakini AKA
yeye anadaiwa kuwa alikuwepo ukumbini hapo lakini hakupanda jukwaani
kama wengine.
No comments:
Post a Comment