HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday 17 February 2017

VIDEO : Mtoto wa miaka minne anaendesha Greda kama mtu mzima



00:00
00:53
UL
Ni kawaida kwa Watoto wa kiume kupenda kuendesha magari wakiwa na udogo wao huohuo na ndio maana wengi huwa wanatumia muda wao mwingi kwenye magari ya kuchezea ambayo hununuliwa na Wazazi wao.
Huko Huangguang China kuna Mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu ambaye kafanya kweli, anaitwa Chen Junyu ambapo wazazi wake wamempa support ya kutosha kumwezesha kuendesha Greda.
Junyu ni shabiki mkubwa wa Wachimbaji na amekuwa akichezea midoli ya aina ya kijiko muda mwingi akiwa nyumbani, tazama kwenye picha na video hapa chini.

Video yake ndio hii hapa chini
Video Player

Video: Alikiba Ft. M.I – Aje Remix




Msanii Alikiba baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Aje”, ameachia rasmi Video mpya ya wimbo wa “Aje Remix”, akiwa amemshirikisha msanii M.I kutoka Nigeria. Tazama hapa chini a

PICHA: Magari 19 anayoyamiliki Cristiano Ronaldo


Unaambiwa Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga Real Madrid Hispania Cristiano Ronaldo ametumia fedha yake nyingi kwa ajili ya kutimiza kiu yake ya kumiliki na kutumia magari ya kifahari.
1. Bugatti Veyron
 
2. Phantom Rolls-Royce
3. Porsche Cayenne

4.  Porsche Cayenne Turbo
5. Porsche 911 Carrera 2 S Cabriolet
6. Mercedes-Benz C-Class Sports Coupe
7. Mercedes-Benz C220 CDI
8. Maserati GranCabrio
9. Ferrari 599 GTB Fiorano
10. Ferrari 599 GTO

11. Audi R8

12. Lamborghini Aventador LP 700-4
13. Bentley GT Speed

14.BMW M6

15. Bentley Continental GTC
16. Audi Q7

17. Audi RS6

18. Aston Martin DB9

19. Ferrari F430

Video: Davido – If




Msanii Davido kutoka Nigeria ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “If”.

VideoMPYA: Mrembo wetu Nandy video mpya inaitwa ‘One Day

New Video: Queen Darleen f/ Rayvanny – Kijuso




Video ya wimbo wa Queen Darleen ‘Kijuso’ aliomshirikisha Rayvanny imetoka. Imeongozwa na Hanscana.