Kipimo cha IQ ni njia pekee inayo aminiwa kupima uwezo wa akili
za mtu kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110
lakini watu wachache sanaa wana IQ level ya kuanzia 14o na kuendelea leo
nimekuletea hii list ya watu kumi wanaoaminikia kuwa na akili hadi
kufikia mwaka 2017.
Terrence Tao.
Ni mwanahisabati kutoka Marekani ana kadiriwa kua na iq level ya 230
Terence Tao aliweza kufanya hisabati akiwa na miaka 2 akiwa na miaka 7
tu aliweza kufanya hesabu ngumu za level ya chuo kikuu akiwa na miaka 20
alipata PHD. Mwaka 2006 alishinda medali ya
Field na mwaka 2014 alipata tuzo ya
Breakthrough prize in mathematics.
2:Christopher Hirata.
Ni mnajimu aliebobea mambo ya anga kwasasa anafanya kazi katika
shirika la mambo ya anga la Marekani NASA ana IQ level ya 225, akiwa na
miaka 13 alipata tuzo ya mwanahisabati bora wa dunia na kuweza kupata
PHD akiwa na umri wa miaka 22.
3:Kim -Um -Young .
Anachukua namba 3 kati ya watu wenye akili duniani akiwa na IQ level
210 mwaka 1990 Kim Ung –yong alishika rekodi ya dunia ya Guiness kwa
kua na IQ kubwa ,kiwa na miezi 6 tu Kim Ung-Yong aliku anajua kuongea
na alipofikisha miaka 3 tu alikua anaweza kuongea Japanese,Korean
,English and German .
4:Rick Rosner .
watu wengi hawakuamini baada ya Rick Rosner kugundulika kua na IQ
level ya 192 kwakua kazi alizokua anafanya hazikuendana na akili yake.
Kabla ya kua muandishi wa kipindi cha Jimmy Kimmel Rick Rosner alikua
dansa wa club za usiku,model na waiter .
5:Garry Kasaporov.
Garry ana IQ level ya 192 ameweka rekodi ya mchezaji bora wa chess
duniani pia ni anajihusisha na Siasa kwa kiasi kikubwa ambapo alitaka
kugombea Urais wa Russia dhidi wa Raisi wa sasa Vladmir Putin.
6:Galileo Galilei
Licha ya kua wanasayansi mkubwa aligundua mambo mbalimbali ya anga na
hisabati na fizikia Galileo ameshika namba 6 kati ya watu wenye akili
duniani akiwa na IQ level ya 185 ,hadi kufikia mwaka 2017 mwanasayansi
huyu hajatoka kwenye top ten anajulikana zaidi kwa ugunduzi wake wa
umbo la dunia.
7:James Woods .
Ni mcheza filamu wa Marekani ambapo ameshinda tuzo mbalimbali za
Academy ana IQ level ya 180 akiwa na umri mdogo Jmaes alikua anaweza
kufanya hesbu ngumu licha ya uwezo wake wa mambo ya sayansi Garry
aliamua kua mcheza sinema.
8:Judit Polger.
Ni mwanamke pekee aliyeko kwenye list ya watu wenye akili nyingi
duniani hadi kufikia mwaka 2017, Judith ana IQ level ya 170 akiwa na
miaka 15 tu aliweza kumshinda mshindi wa dunia kwenye mchezo wa chess.
9:Sir Endrew Willes.
Ni mwanahisabati na mkufunzi wa chuo kikuu cha Oxford Marekani ana
IQ level ya 170 ,Andrew Wiles aliweza kukokotoa hesabu ngumu zaidi
duniani za Fermat’s Last Theorem na mwaka 2016 alishinda tuzo ya Abel
Prize .
10:Albert Einstein.
Ukitaja jina la Eistein unamaansiha “Genious” mwanafizikia huyu
ameweza kujijengea jina kwa mchango wake mkubwa katika sekta ya sayansi
na mambo ya anga, Einstein ana IQ level ya 160.