HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 1 April 2017

VIDEO: Ubunifu wa kiti cha walemavu wa miguu kinachopanda ngazi



Namna  mbalimbali zimekuwa zikifanyika ili watu wenye ulemavu wa viungo kupata fursa sawa na wasio na ulemavu, Wanafunzi watano kutoka Vyuo Vikuu vya The Swiss Federal Institute of Technology na Zurich University of the Arts wamebuni njia nyingne ya kuwasaidia watu wenye ulemavu wa viungo kwa kutengeneza kiti chenye uwezo wa kupanda na kushuka ngazi.

Wataalamu hao wamegundua kiti hicho ‘Wheel Chair’ ambacho kina uwezo wa kupanda na kushuka  ngazi na kupita sehemu ambazo hazina mtelemko. Kiti hicho kimepewa jina la Scewo chair kinatarajia kuingia sokoni mwishoni mwa mwaka 2018.

Bonyeza Play hapa chini kutazama kiti cha magurudumu chenye uwezo wakupanda ngazi

No comments:

Post a Comment