HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 25 October 2016

Video: Qboy Ft Rayvanny & Shetta – Mugacherere


Msanii Qboy Msafi kutoka WCB ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Mugacherere”, amewashirikisha Rayvanny na Shetta. Video Imefanyika Johannesburg, South Africa na imeongozwa na Nicorux. .

Serikali kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo kwa kipaumbele

Serikali ipo katika mkakati wa kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo katika fani za kipaumbele, kutumikia katika utumishi wa umma nchini kwa muda fulani ili kuhakikisha dhamira ya serikali ya inatimia.

SAMSUNG CSC
Fani hizo ni sayansi za tiba na afya, ualimu wa sayansi na hisabati, uhandisi wa viwanda, kilimo, mifugo, mafuta, gesi asilia, sayansi asilia, mabadiliko ya tabia nchi, sayansi za ardhi, usanifu majengo na miundombinu.
Serikali inachukua uamuzi huo, baada ya kubaini kuwapo wanafunzi wanaosomea fani hizo ili kupata mikopo, lakini baada ya kumaliza hukimbilia kufanya kazi nyingine au nje ya nchi na hivyo kuendelea kuwepo upungufu wa wataalamu waliowakusudia kubaki.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na mafunzo ya ufundi, Stella Manyanya aliyasema hayo hivi karibuni, alipozungumzia utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Alieleza kuwa serikali inafikiria kuwe na utaratibu kwa wanaonufaika na mikopo ya kipaumbele kuingia makubaliano na serikali.
Alisema suala hilo halitakuwa jipya kwani hapo nyuma walikuwa wakibanwa kuwa lazima kufanya kazi angalau kwa miaka mitano serikalini na baadaye ni ruhusa kwenda popote, lakini kwa sasa hawawezi kuwabana wote, lakini lazima kufanya hivyo kwa hao wa kipaumbele.
Aidha Manyanya alizungumzia ulipaji mikopo hiyo na kudai wanaboresha sheria ya kukusanya madeni kwa kushirikiana na waajiri.
“Serikali itakusanya madeni hata kwa wakopaji ambao wamejiajiri kwa sababu wengi wakimaliza masomo hawafikirii kulipa,” alisema.”Sasa lazima walipe, wakopaji watambue fedha hizo ni mikopo na lazima kulipa.”
Alisema kwa wakopaji watakaoajiriwa, wizara inataka mkopo huo kuwa wa kwanza kukatwa kabla ya mingine ili kuepuka kuingiliana na sheria za kazi, zin

Sunday 23 October 2016

Wizkid, Dj Maphorisa, Dj Buckz, Emtee perfomance MTV MAMA 2016

Diamond Platnumz - Mtv Mama Rehearsal 2016 (part 1) And Diamond Platnumz - Mtv Mama Rehearsal 2016 (part 2)

Tazama video Diamondi platnum (simba) alivo kuwa akizoea jukwaa SA

Diamond: Nitaudhihirishia ulimwengu Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii

Diamond Platnumz yupo kwenye mission – ya kuuonesha ulimwengu kuwa Afrika Mashariki si ya mchezo mchezo kwenye muziki.

14733403_1605393329764932_8924863447481450496_n
Diamond na dancers wake wakifanya rehearsal Ijumaa hii kujiandaa na show ya MTV MAMA
 jana Akipost picha akifanya rehearsal na dancers wake kwenye ukumbi wa Ticket Pro jijini
Johannesburg patakapofanyika tuzo hizo, Diamond ameandika, “Tafadhali sana ndugu zangu
 naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia
 Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii.”
14676574_710044392478910_6430829213468590080_n
Licha ya kutumbuiza, muimbaji huyo anawania kipengele cha muimbaji bora wa kiume wa mwaka katika tuzo hizo.
14719751_1074611485992099_6593494567159332864_n

New Video: Tekno – Diana

Wakati bado Pana inafanya vizuri, msanii wa Nigeria, Tekno ameachia mashine nyingine tena iitwayo Diana. Video hii imefanyika kwenye daraja liitwalo Charles la jijini Prague, Czech Republic. Enjoy chupa hiki kikal

VIDEO: Diamond Platnumz alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016

14676574_710044392478910_6430829213468590080_n
Mwimbaji Diamond Platnumz kutoka Tanzania alikuwa kwenye list ya waliotumbuiza kwenye utoaji wa tuzo za MTV MAMA 2016 zilizotolewa katika ukumbi wa Ticket Pro Dome, Johannesburg Afrika Kusini. Itazame hii video hapa ujionee staa huyo alivyotumbuiza kwenye MTV MAMA 2016. cvz5ptjxgaakzly

MTVMAMA2016: Tanzania yatoka kapa, hii ni orodha nzima ya washindi

Tanzania imetoka kapa kwenye tuzo za MTV MAMA 2016 zilizofanyika usiku wa Jumamosi hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Raymond, Navy Kenzo na Yamoto Band walikuwa wametajwa kuwania tuzo hizo.

cvz5ptjxgaakzly
Wizkid alikuwa man of the night
Ulikuwa ni mwaka wa Wizkid aliyeibuka na tuzo nyingi zaidi, ikiwemo ya msanii bora wa mwaka. Diamond na Alikiba walikuwa miongoni ma wasanii waliotumbuiza.
“Shukran sana sana kwa Kura na support Kubwa mlionipa na mnayoendelea kunipa,” ameandika Diamond kwenye Instagram.
“Pia S/O kwa my fellow Tanzanian Artist wote waliobahatika kuchaguliwa… Kuingia tunwengi kwenye MtvAwards ni Ushindi tosha kwa Tanzania…ila wanna congrats my brothers @sautisol for the Best Group award… my hommie @jahprayzah and @wizkidayo ya’ll deserve the Trophies,” ameongeza.
Alikiba amepost picha ya Sauti Sol na kuandika: Congratulations to my brothers @sautisol for The MTV Best Group Winner. You have had a great year and you deserve it.”
Naye Vanessa Mdee amepost picha ya Yemi Alade aliyekuwa akishindana naye kwenye kipengele cha msanii bora wa kike na kuandika: Congratulations to my lady love @yemialade 💜 na bado tunaenda #Juu and ALL the winners tonight. Thankyou @mtvbaseafrica for the recognition and your continued efforts to elevate Afrikan Music.Now lets get back to work kids.”
Kwa upande wao, Navy Kenzo wamewapongeza Sauti Sol kwa kuandika: With a Great pleasure we Thank God and all Fans, family, friends and all of our teams,Thank you Everyone for voting and it was a great exposure motivation and challenge towards major Goal…! We also Give thanks to @mtvbaseafrica @mtvbaseafrica For the Nomination and recognition we are very happy with a Great Gratitude. Until next Year. EAST AFRICA #KENYA AND AFRICA AT LARGE LET’S STAND TOGETHER AND SAY CONGRATULATIONS @sautisol @sautisol
@sautisol @sautisol #BESTGROUP #AFRICA.”

Hii ni orodha kamili ya washindi.
cvzwptgwyaaxlqr
1
cvzpyyfwcaavr-1
cvzsgfwwyaa1sdf
cvzbjdswaaanki6
cvzehd_wyaadw5a
cvzfoxdwyaaep98
cvzh0vhxgaaaaft
cvzirevwyaane6y
cvzkawnwgaafbgm
cvzlvjjwgaej5hp
cvzmqxwwgaa8djt
cvzo2txwiaaxiwb
cvzufrawgaabrkh
cvzwwu0wyaaf9c1
cvzxrurxeael16c
cvzyqtmxgaegra9