HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 23 October 2016

Diamond: Nitaudhihirishia ulimwengu Afrika Mashariki kuna zaidi ya wasanii

Diamond Platnumz yupo kwenye mission – ya kuuonesha ulimwengu kuwa Afrika Mashariki si ya mchezo mchezo kwenye muziki.

14733403_1605393329764932_8924863447481450496_n
Diamond na dancers wake wakifanya rehearsal Ijumaa hii kujiandaa na show ya MTV MAMA
 jana Akipost picha akifanya rehearsal na dancers wake kwenye ukumbi wa Ticket Pro jijini
Johannesburg patakapofanyika tuzo hizo, Diamond ameandika, “Tafadhali sana ndugu zangu
 naomba kesho msikose kutazama tunzo za MTVMAMA…. kijana wenu nimepanga kuwadhihilishia
 Ulimwengu Kuwa Africa Mashariki kuna zaidi ya Wasanii.”
14676574_710044392478910_6430829213468590080_n
Licha ya kutumbuiza, muimbaji huyo anawania kipengele cha muimbaji bora wa kiume wa mwaka katika tuzo hizo.
14719751_1074611485992099_6593494567159332864_n

No comments:

Post a Comment