HUBATI.COM

THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 8 June 2016

Mambo 10, ya kumfanya mpenzi wako akupende milele@ Kama uliamini mapenzi pesa... SAHAU

Gestures Women Appreciate

Wewe kama mwanamme au mwanamke, najua  unahitaji sana kulitunza penzi lako na kufanya lidumu milele kama wenyewe mnavyosema. Lakini wacha nikwambie kutunza penzi si ghalama kama watu wengi wanavyodhani, ila kuna vitu vichache ambavyo ukivifanya basi utadumu naye. Maana ingekuwa mapenzi ni ghalama basi maskini wasinge dumu kwenye mapenzi yao, lakini badala yake maskini ndiyo wanaongoza kudumu katika ndoa Na hizi ni hatua 10, ukizifanya mtadumu.

(   1:  Kushukuru /Thanks You
Kwa kawaida wasichana huwa wanapenda sana kusikiliza maneno yanayotoka midomoni,  mwa wapenzi wao. Hivyo kumfurahisha mpenzi wake, ni  lazima kumshukuru kwa chochote atakachokufanyia kwa kusema hasante,  hata kama ukimtuma akakuletee soda kwenye friji, au kitu chochote,  hata kama alichokuletea si sahihi kumkosoa papo hapo ni  bora kumshuruku na kumwambia taratibu.
2:KUWAPAMOJA / CROWD
Mwanamke anapenda sana kuongozana na mpenzi wake, anapenda kuona kila saa akiwa  karibu na ampendaye. Inawezekana mkaongozana wakati wa starehe, kama kwenda beach, disko, kwenye harusi au kuongozana kwenda kazi, sokoni kama  Supermakert ,  Kliniki wakati wa ujauzito au maradhi ya kawaida ni bora kufuatana.  Wanasema kuongozana mara kwa mara kunafukuza maadui, kwani hakuna mtu anayeweza kuingiza chuki kwani hata yeye ataogopa.
3:KULALA / SLEEP
Najua kila wapenzi wanakitu ambacho wanakipenda pamoja. Japokuwa kati ya hao, wengi hupenda kutizama Tv, filamu.  Kama mtakuwa mnaangalia filamu, ruhusu mwenzawako,  alale kifuani kwako, au sehemu yoyote ya mwili wako.
Na pindi akipitiwa na  usingizi usimwamshe, mwache alale  hadi atakapoamka mwenyewe kwakuwa mwili pia unahitaji mapumziko. Kama kuna joto, iwe usiku au mchan, jitahidi umwache apitiwe na usingizi mwilini mwako, hii inasaidia sana  kwani siku akilala peke yake, atajikuta akikukumbuka zaidi.
4:BUSU /KISSES
Wanasema busu au kiss huongeza ukaribu baina ya wapenzi. Hivyo penda kumkisi mpenzi wako, shavuni, kwenye paji la uso au  mdomoni..
5;KUMVALISHA NGUO YAKO WAKATI WA BARIDI /JACKET
Ni vema kama kipindi cha baridi uonyeshe ni jinsi gani unamthamini, au unamfanya yeye kuwa kipaumbele zaidi kwako kwa kuchukua nguo yako,  koti au shati  na kumvisha au kumfunika.
Yeye kutumia nguo yako  sehemu ambayo unahisi hamna kitu kingine cha kumfunikia au kumkinga na joto, au baridi, joto atakalo pata ni sawa na lile joto la mapenzi.
6:KUMSAIDIA KUOSHA VYOMBO/ WASHES
Jamani, sio ujinga kumsaidia mpenzi wako katika suala zima la usafi wa nyumbani. Muwe  mlishinda wote nyumbani, au mmerudi wote kazini au safari . Kama mwenzako ataingia jikoni, akapika na kuandaa chakula, ni vema  ukawa unamsaidia kwa kuandaa vitu vingine.  Pia ni vema ukawa unasafisha chombo ulichotumia wewe au yeye kama grasi ya maji ya kunywa au kijiko, hii inamfanya aamini kama yeye si mtumwa kwako, na akumbuke wema wako popote aendapo.
7:KUMSIFIA / APPRICIETY
Unapokuwa na mpenzi wako penda kuchumnguza jinsi anavyovaa, anavyokula  na chochote anachofanya. Siku  ukiona ameongeza kitu cha ziada katika kile kitu cha kawaida basi msifie. Mwanamke au mwanaadam yoyote anapenda sifa, akipika wali nyama siku akiongeza na njegere mwambie, Chakula cha leo kitamu  sana, akivaa nguo au akisuka mwambie  mwambie umependeza. Basi atakupenda kwakuwa atahisi  yeye ni bora zaidi ya hao unaokutana nao nje.
7:ZAWADI / GIFT
Jamani jamani!! Hebu nisikilizeni mimi, watu wanaogopa neno zawadi,  zawadi si lazima mtu umpe nyumba au gari. Mpenzi wako anahitaji vizawadi, vidogo vidogo, kwa mfano kumnunulia ua la upendo, kumnunulia kadi, kumnunulia Bazoka, fenesi, embe, peasi, gauni, chungwa na kitu chochote ambacho unahisi unakimudu. Zawadi inaonyesha ni jinsi gani unavyoweza kushea kile ambacho unakipata, hivyo hatojali ukubwa wa zawadi na atathamini zaidi hali yako kwakuwa anajua ipo siku atapata kubwa huku uzee unasogea.
8:KUMKUMBATIA/ CUDDLING
Wanasayansi wanasema kumkumbatia mtu kunamsaidia kumpunguza mawazo, kwakuwa kunaonyesha ni jinsi gani unavyomthamani na hata kuonyesha unaweza kuwa sehemu ya suruhisho la tatizo lake. Hivyo  ni vizuri kupenda kumkumbatia si kitandani pekee yake, bali iwe beach, kwenye kochi, ndani ya gari sehemu yoyote ambapo panastahiri kumkumbatia mkumbatie. Hebu chunguza, watu waliopoteana kwa muda mrefu na wanapokutana, angalia kwenye misiba na sehemu zingine. Penda kucheza naye kwa kukumbataiana utaona matokeo yake.
9:KUAGANA NA KUKARIBISHANA/ HELLO & GOODBYE
Kama asubuhi unaondoka kwenda sehemu yoyote penda kumuaga mpenzi wako kwa staili ambayo wewe unaipenda,  kama utachagua ya kumkumbatia, kushikana mikono, au kufanya ishara yoyote, ingawa njia nzuri zaidi ni ya kupigana kisi. Mkisi mpenzi wako wakati unarudi kazini, au wakati wa kwenda kazini, ni njia bora ya  kukumbuka popote unapoenda. Na kufanya hivyo utakuwa umeweka ulinzi katika penzi lako.
Jamani hapo ndiyo mwisho… kufanya hivi utakuwa umelilinda penzi lako. 
1. Sitaki hivi na vile Unapokuwa faragha na mpenzi wako hutakiwi kugomea vitu ambavyo mpenzi wako anataka kukufanyia tena kwa ukali. Kwa mfano, kuna baadhi ya wanawake wanaposhikwa maeneo flani ya miili yao husema; ‘bwana mi staki, mwenzio unanichanganya’. Sentensi hiyo inapotolewa Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Maneno 8 ambayo ni sumu kumwambia mwenzi wako Unapokuwa faragha na mpenzi wako, kuna baadhi ya mambo unatakiwa kuyaepuka kwani yanaweza kutibua hali ya hewa na mwishowe kutopata ile furaha mliyodhamiria. Achilia mbali hayo ya kufanya, pia kuna maneno ambayo unatakiwa kujichunga sana kutoyatamka pale unapokuwa kwenye uwanja wa kujidai na mpenzi wako. Haya nayo madhara yake ni makubwa kwani yanaweza hata kuufanya uhusiano wenu ukafikia tamati. Maneno hayo 8 ni haya yafuatayo; 1. Sitaki hivi na vile Unapokuwa faragha na mpenzi wako hutakiwi kugomea vitu ambavyo mpenzi wako anataka kukufanyia tena kwa ukali. Kwa mfano, kuna baadhi ya wanawake wanaposhikwa maeneo flani ya miili yao husema; ‘bwana mi staki, mwenzio unanichanganya’. Sentensi hiyo inapotolewa kimahaba haina madhara na inaweza kunogesha mambo kwani inaeleweka mwanamke anaposema hivyo anamaanisha nataka sitaki, lakini unapomwambia mpenzi wako sitaki hiki tena kwa lugha ya ukali ukimaanisha unachokisema, unaweza kuharibu mambo. 2. Hivyo siyo vizuri Unamwambia mpenzi wako kwa macho makavu kuwa anavyokufanyia siyo vizuri? Hapana, hiyo siyo poa. Hata kama uko ‘streiti’ lakini tafuta njia nyingine ya kumfikishia ujumbe huo bila kumharibia ‘mudi’ yake kwani wanaume si watu wanaopenda kukosolewa katika kila jambo. 3. Siyo mkali uwanjani Unaweza kujikuta umeangukia kwa mwanaume ambaye hayajui ‘majamboz’, yaani wewe ndiye unayechukua muda mwingi kumuelekeza afanyeje ili muipate furaha. Hilo siyo suala la kukufanya uanze kumlaumu na kufikia hatua ya kumchana laivu kuwa yeye siyo mkali. Mvumilie, endelea kuwa naye huku ukiamini siku moja atakuwa mzoefu. Fahamu kuwa, kisaikolojia ukimwambia siyo mzuri faragha ndiyo unazidisha tatizo na anaweza kuona ni bora asiwe na wewe kabisa ili kukwepa kuumbuka. 4. Wewe siyo mtundu kama x-dear wangu Kwanza unatakiwa kujua kuwa, uwapo faragha hutakiwi kuuzungumzia uhusiano wako uliopita, kwa kuufananisha au kuutofautisha. Hivyo hutakiwi pia kumwambia mpenzi wako kuwa yeye siyo mtundu kama mpenzi wako wa zamani. Ukimwambia hivyo utamfanya ahisi ipo siku unaweza kumuacha na kumrudia wa zamani, mazingira ambayo siyo mazuri. 5. Ingekuwa yule wangu wa zamani angenifanyia hivi Kwa mfano mpenzi wako hataki kukufanyia kitu flani ambacho uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako wa zamani, hutakiwi kuwa muwazi katika hilo. Cha kufanya akishaonesha hataki kukufanyia hicho kitu, mpotezee kisha endeleeni na mambo mengine, wala usimkumbushie kuwa ingekuwa mpenzi wako wa zamani angekufanyia. 6. Mbona hufanyi sahihi Kweli anaweza kufanya mambo katika njia ambayo unaona siyo sahihi kwako lakini huna sababu ya kuwa mkali, mwelekeze namna unavyotaka afanye tena kwa upole kwa kutumia lugha ya kimahaba. 7. Hii inaboa, unaniboa Hata kama ndiyo ukweli wenyewe lakini unapokuwa faragha na mpenzi wako epuka kumwambia anakuboa au anafanya mambo yanayokuboa. Ukimtamkia hivyo, wewe utakuwa umemboa zaidi na furaha lazima itoweke. 8. Jina la mwanaume mwingine Dah!Kama unataka siku hiyo hiyo uachwe, jaribu kutaja jina la mwanaume mwingine wakati uko faragha na mpenzi wako. Ni mbaya sana kwani unaonesha unamuwaza sana yeye kuliko mpenzi wako. Katika hili nalo unatakiwa kuwa makini. Hayo ndiyo baadhi ya maneno ambayo unatakiwa kutumia gharama yoyote kuyaepuka unapokuwa faragha na mpenzi wako. Tambua penzi linashikiliwa na vitu vidogovidogo sana ambayo unaweza kuvidharau lakini madhara yake yakawa makubwa. Kwa maana hiyo, hakikisha kila neno unalotaka kulitoa mdomoni mwako kwenda kwa mpenzi wako unalipima kwanza, usipofanya hivyo unaweza kuja kujuta siku moja Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Maneno 8 ambayo ni sumu kumwambia mwenzi wako Unapokuwa faragha na mpenzi wako, kuna baadhi ya mambo unatakiwa kuyaepuka kwani yanaweza kutibua hali ya hewa na mwishowe kutopata ile furaha mliyodhamiria. Achilia mbali hayo ya kufanya, pia kuna maneno ambayo unatakiwa kujichunga sana kutoyatamka pale unapokuwa kwenye uwanja wa kujidai na mpenzi wako. Haya nayo madhara yake ni makubwa kwani yanaweza hata kuufanya uhusiano wenu ukafikia tamati. Maneno hayo 8 ni haya yafuatayo; 1. Sitaki hivi na vile Unapokuwa faragha na mpenzi wako hutakiwi kugomea vitu ambavyo mpenzi wako anataka kukufanyia tena kwa ukali. Kwa mfano, kuna baadhi ya wanawake wanaposhikwa maeneo flani ya miili yao husema; ‘bwana mi staki, mwenzio unanichanganya’. Sentensi hiyo inapotolewa kimahaba haina madhara na inaweza kunogesha mambo kwani inaeleweka mwanamke anaposema hivyo anamaanisha nataka sitaki, lakini unapomwambia mpenzi wako sitaki hiki tena kwa lugha ya ukali ukimaanisha unachokisema, unaweza kuharibu mambo. 2. Hivyo siyo vizuri Unamwambia mpenzi wako kwa macho makavu kuwa anavyokufanyia siyo vizuri? Hapana, hiyo siyo poa. Hata kama uko ‘streiti’ lakini tafuta njia nyingine ya kumfikishia ujumbe huo bila kumharibia ‘mudi’ yake kwani wanaume si watu wanaopenda kukosolewa katika kila jambo. 3. Siyo mkali uwanjani Unaweza kujikuta umeangukia kwa mwanaume ambaye hayajui ‘majamboz’, yaani wewe ndiye unayechukua muda mwingi kumuelekeza afanyeje ili muipate furaha. Hilo siyo suala la kukufanya uanze kumlaumu na kufikia hatua ya kumchana laivu kuwa yeye siyo mkali. Mvumilie, endelea kuwa naye huku ukiamini siku moja atakuwa mzoefu. Fahamu kuwa, kisaikolojia ukimwambia siyo mzuri faragha ndiyo unazidisha tatizo na anaweza kuona ni bora asiwe na wewe kabisa ili kukwepa kuumbuka. 4. Wewe siyo mtundu kama x-dear wangu Kwanza unatakiwa kujua kuwa, uwapo faragha hutakiwi kuuzungumzia uhusiano wako uliopita, kwa kuufananisha au kuutofautisha. Hivyo hutakiwi pia kumwambia mpenzi wako kuwa yeye siyo mtundu kama mpenzi wako wa zamani. Ukimwambia hivyo utamfanya ahisi ipo siku unaweza kumuacha na kumrudia wa zamani, mazingira ambayo siyo mazuri. 5. Ingekuwa yule wangu wa zamani angenifanyia hivi Kwa mfano mpenzi wako hataki kukufanyia kitu flani ambacho uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako wa zamani, hutakiwi kuwa muwazi katika hilo. Cha kufanya akishaonesha hataki kukufanyia hicho kitu, mpotezee kisha endeleeni na mambo mengine, wala usimkumbushie kuwa ingekuwa mpenzi wako wa zamani angekufanyia. 6. Mbona hufanyi sahihi Kweli anaweza kufanya mambo katika njia ambayo unaona siyo sahihi kwako lakini huna sababu ya kuwa mkali, mwelekeze namna unavyotaka afanye tena kwa upole kwa kutumia lugha ya kimahaba. 7. Hii inaboa, unaniboa Hata kama ndiyo ukweli wenyewe lakini unapokuwa faragha na mpenzi wako epuka kumwambia anakuboa au anafanya mambo yanayokuboa. Ukimtamkia hivyo, wewe utakuwa umemboa zaidi na furaha lazima itoweke. 8. Jina la mwanaume mwingine Dah!Kama unataka siku hiyo hiyo uachwe, jaribu kutaja jina la mwanaume mwingine wakati uko faragha na mpenzi wako. Ni mbaya sana kwani unaonesha unamuwaza sana yeye kuliko mpenzi wako. Katika hili nalo unatakiwa kuwa makini. Hayo ndiyo baadhi ya maneno ambayo unatakiwa kutumia gharama yoyote kuyaepuka unapokuwa faragha na mpenzi wako. Tambua penzi linashikiliwa na vitu vidogovidogo sana ambayo unaweza kuvidharau lakini madhara yake yakawa makubwa. Kwa maana hiyo, hakikisha kila neno unalotaka kulitoa mdomoni mwako kwenda kwa mpenzi wako unalipima kwanza, usipofanya hivyo unaweza kuja kujuta siku moja. Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

No comments:

Post a Comment