HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday 26 September 2016

Video: Joka kubwa (Anaconda) lenye futi 33 lanaswa Brazil

. 38c4070300000578-3806020-image-m-78_1474790201277


 Joka kubwa lenye urefu wa futi 33 limegundulika kwenye eneo la ujenzi huko kaskazini mwa Brazil


Joka hilo lenye uzito wa kilo 400 lilipatikana baada ya wajenzi kulipia baruti katika pango lililopo Altamira, Pará

No comments:

Post a Comment