HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 21 May 2016

Entertainment Itazame hapa video ya Alicia Keys ‘In Common’ Enjoy.

Hii video mpya ya Alicia Keys “In Common.” iliyohamasishwa na “electric energy” ya mjii wa New York. Rekodi hii ipo kwenye album yake ya sita ambayo ni muendelezo wa cd yake ya mwaka 2012 Girl on Fire

Video: Mayunga ft Akon – Please don’t go away

Mshindi wa Trace Music Star kutoka, Tanzania Mayunga ameachia rasmi video mpya ya single yake mpya aliyomshirikisha staa Akon inaitwa ‘Please Don’t go away







Jarida maarufu la Marekani The Source lampa shavu Alikiba

image 

Jarida la The Source limeipa kipaumbele habari ya Alikiba kusaini deal la kimataifa na label kongwe ya Sony Music ambapo limedai ni msanii wa pili kusaini deal ya ukubwa huo kwa Afrika baada ya Davido.
image
Hiyo inathibitisha ama kutoa hofu ya mashabiki wa muziki kuwa deal hiyo haina tofauti na zile zilizofeli za wasanii kama Keko na Rose Mhando ambao wao mkataba ulikuwa ni kwa Afrika pekee.
Kwa mujibu wa meneja wa Alikiba, Seven Mosha, Sony Music itawekeza nguvu, fedha, nyenzo na utaalam kuhakikisha Alikiba anakuwa msanii wa kimataifa.
Hiyo inamaanisha itagharamia kila sumuni itakayotumika kurekodi muziki ikiwemo kutumia waandishi wa muziki mahiri duniani, kulipia video zake, kumuunganisha na vyombo vya habari vya kimataifa, kusimamia utengenezaji wa album na kuisambaza duniani kote na vingine.
Kwa sasa Kiba hatotumia tena hela yake kufanya muziki.
Pia Sony watahusika katika kumkuza zaidi Alikiba kimuziki pamoja na kufanya utafiti wa kina kumtengenezea njia ya mafanikio.
Deal la Alikiba na Sony Music limepokelewa kwa furaha kubwa na wapenzi wa muziki nchini.

VIDEO: Exclusive ya Halima Bulembo Mbunge mdogo kuliko wote Bungeni ‘Sipendi kutumwatumwa’

Najua kuna watu wangu wao ni damdam kufuatilia historia za maisha ya mastaa wao, kazi yangu siku zote ni kuhakikisha nalisimamia hili na kuzisogeza hapa. Leo katika Exclusive Interview  ya AYO TV tunaye Mbunge wa Viti Maalum CCM  Halima Bulembo ambaye ni Mbunge mdogo kuliko wote katika Bunge la 11.
Halima kaamua kushare na sisi maisha yake kuanzia alivyoanza kuusaka Ubunge hadi changamoto anazokutana nazo Bungeniikiwa ni pamoja na la baadhi ya Wabunge kumchukulia kama mtoto na kumtumatuma.
Yote haya unaweza kuyapata kwenye hii video hapa chini, ukimaliza kuitazama ni ruksa kushusha comment yako ili akipita aweze kuisoma.

ULIIKOSA? CHEKA KIDOGO NA HUYU MBUNGE ANAYEJIITA ‘BWEGE’ NA HIVI VITUKO VYAKE

Friday, 20 May 2016

Diamond atajwa kuwania tuzo za BET 2016

Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa.
image
Staa huyo atachuana na nguli wengine wa Afrika wakiwemo Wizkid, Yemi Alade wa Nigeria, AKA, Cassper Nyovest na Black Koffie wa Afrika Kusini na wengine wawili.
image
Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi June nchini Marekani. Diamond pia atatumbuiza June 26 kwenye tuzo hizo.

Video: Ne-Yo atua Dar akiwa kwenye ulinzi mkali, kutumbuiza Mwanza Jumamosi hii

Staa wa Marekani, Ne-Yo jana usiku alitua jijini Dar es Salaam akitokea Marekani akiwa na ulinzi mkali


Warembo waliohudhuria kwenye hafla ya Meet and Greet ya Ne-Yo Huko akiwa kwenye ulinzi mkali zaidi alisalimiana na wafanyakazi wa Vodacom, CocaCola pamoja na mashabiki waliokuwepo


IMG_6599



 Warembo waliohudhuria kwenye hafla ya Meet and Greet ya Ne-Yo

“Ni kitu kizuri sana kuwa na msanii wa hadhi ya kimataifa kama Ne-Yo hapa Tanzania. Jembeka na Vodacom litakuwa tamasha kubwa, kama hujapata tiketi yako chukua sasa zimebaki chache. Pia balozi wetu Diamond Platnumz atatumbuiza pia Mwanza,” alisema Ferrao.
Tazama picha zaidi za Meet and Greet ya Vodacom na Jembeka Festival


IMG_6600
IMG_6603
IMG_6589
IMG_6596



Kwa upande wake Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania aliyekuwepo pia usiku huo alisema kwa mara nyingine tena kampuni hiyo imefanikisha kuletwa kwa msanii mahiri wa kimataifa kuwaburudisha wapenzi wa muziki wa Mwanza.


Muimbaji huyo wa ‘Miss Independent’ alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mida ya saa tano kasoro usiku. Staa huyo aliyekuwa amevaa nguo zote nyeusi na kofia ambayo alikuwa ameifunika na hood aliwapungia mkono waandishi wa habari na mashabiki waliokuwa wamejitokeza kumpokea kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye gari na kufunga vioo. Mlinzi wake pandikizi la mtu, alimzuia staa huyo kutoongea na waandishi wa habari kwa kudai kuwa alihitaji kupumzika kutokana na uchovu wa safari hiyo. Hata hivyo baada ya kuombwa na waandishi wa habari walau wamuulize maswali machache, alifungua kioo cha gari na Ne-Yo kusalimia. “Fantastic so far,” alijibu Ne-Yo baada ya kuulizwa anajisikiaje kuja Tanzania. “ I am happy to be here looking forward to perform with Diamond and everyone who will be at the show,” aliongeza. Ne-Yo atatumbuiza Jumamosi hii kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwenye tamasha la Jembeka linalodhaminiwa na Vodacom. Diamond na wasanii wengine zaidi ya 20 watatumbuiza kwenye tamasha hilo kubwa linaloandaliwa na kituo cha redio cha Jembe FM. Baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam, Ne-Yo alienda kwenye hafla ya Meet and Greet iliyofanyika Club Rouge iliyopo kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.

Picha,Muonekano mpya wa Jux, ingia hapa.



Rnb staa Jux amebadilisha muonekano wake na kuwa na style mpya ya nywele kama ya wasanii wa miaka ya 80 wakina Kris Kros. Mtindo huu pia tuliuona wakati wa kutoka kwa album ya Fan of a Fan 2 aliuweka Chris Brown.
Post ya pic hii iliambatana na ujumbe huu “Sometimes you have to believe in yourself and do what you want, uwezi kupendwa na wote na uwezi kumfuraisha kila mtu #jiamini #hapo #wivu #aftricanboy,”
juma-jux Jux1 Jux-2

Thursday, 19 May 2016

top 12 best Beach / Hotel & Resort , in Dar es Salaam

Best Western Plus Colosseum Hotel, Dar es Salaam

 

 New Africa Hotel, Dar es Salaam

 

 

Protea Hotel Courtyard Dar es Salaam, Dar es Salaam

 

 

Southern Sun Dar es Salaam, Dar es Salaam

 

 

 

Holiday Inn Dar Es Salaam City Center, Dar es Salaam

 

 Dar Es Salaam Serena Hotel, Dar es Salaam

 

DoubleTree by Hilton Dar es Salaam - Oyster Bay, Dar es Salaam

 

 Sea Cliff Hotel, Dar es Salaam

 

Hotel South Beach Resort, Dar es Salaam

 

 Ramada Resort Dar Es Salaam, Dar es Salaam

 The LandMark Mbezi Beach Resort & Conference Centre, Dar es Salaam

 

 

The Beach Comber Hotel & Resort, Dar es Salaam

New Video: Lady Jay f/ Sarkodie – Venus

Video ya rapper wa Ghana Lady Jay aliye chini ya label iitwayo One Nation Entertainment nyumbani kwa msanii mwingine mkubwa, Efya. Kwenye kazi hii ameshirikishwa Sarkodie

New Video: Alikiba – Aje

Hatimaye sasa unaweza kutazama video ya wimbo mpya wa Alikiba ‘Aje.’ Imeongozwa na Mejji Alabi.

Sayansi imethibitisha mwanaume akiwa na sifa hizi 10 huwa na mvuto zaidi kwa wanawake

7-ways-to-let-him-know-your-interested-3
1. Sura Nzuri
Muonekano mzuri kwa mwanaume huwa ni kigezo cha kwanza katika maamuzi ya mwanzo kwa mwanamke lakini hata hivyo huwa ni katika mapenzi ya muda mfupi tu zaidi ya yale yanayodumu.
2. Ucheshi
Ucheshi kwa mwanaume si muhimu tu kama wenyewe bali humfanya mwanaume aonekane mwenye akili

3. Mwanaume anayetoa msaada

Wanawake hupenda wanaume wanaotoa msaada, wasio wachoyo pale wanapotafuta uhusiano wa muda mrefu

4. Utajiri/Uwezo wa kifedha

Ile imani kuwa wanaume wenye uwezo wana mvuto zaidi kwa wanawake ni kweli. Utafiti ulionesha kuwa wanawake huona wanaume wanavutia zaidi pale wanaposimama tu kwenye magari ya kifahari au nyumba, hata kama vikiwa sio vyao.
5. Umri Mkubwa
Wanawake hupenda wanaume wenye umri mkubwa kwasababu mara zote huamini kuwa wamekusanya vitu vingi na uzoefu katika maisha.
6. Ndevu
Ndevu zimekuwa zikichukuliwa kama zinazokera na kuvutia kwa wakati mmoja – yote hutegemea na mapenzi ya mtu.
7. Wagumu
Wakati utafiti wa zamani unasema kuwa wanawake huvutiwa na wanaume wanawaopenda, tafiti mpya zimedai kuwa kujifanya mgumu, kutojali kunawavutia wanawake. Kifupi, wanaweza kutaka kile wanachodhani hawawezi kupata.
8. Tafiti zinaonesha pia kuwa wanaume wenye mbwa huwavutia wanawake. Duh!
9. Wanawake kwenye tamaduni zote wameonesha kuvutiwa na wanaume wanaovaa rangi nyekundu
10. Wanawake wamethibitishwa pia kuwapenda wanaume majasiri na wasiogopa

Video: Yemi Alade’s Ft Flavour – Kom Kom

The contemporary high-life gem “Kom Kom” produced by hit-producer Masterkraft, is housed on Yemi Alade’s chart-topping sophomore album “Mama Africa: The Diary of an African Woman” propelled by the massive success of previous singles “Na Gode” and “Ferrari

Wednesday, 18 May 2016

Video: Dreezy Feat. Jeremih – Body

Dreezy is about to catch a “Body.” Teaming up with Jeremih, the Chicago MC delivers the Erik White-directed video for her hit single.

Picha,Meli ya abiria kubwa zaidi duniani imekamilika

Watengenezaji wa meli wamesema hii ndio meli kubwa zaidi duniani itakayokuwa ikibeba abiria. Meli hii imepewa jina la Harmony of the Seas. Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,  kwa wiki kutembea na hii meli ni £900 kwa mtu mmoja, ila kwenye eneo la bata ni £2,760 kwa mtu mmoja.
Watengenezaji wa meli hii wanasema imechukua miezi 32 kujenga meli hii ya Harmony of the Seas, ni meli ya 25 kwenye meli za Royal Caribbean International fleet.
ship 000
17M_NEWS Harmony Of The Sea Cruise Ship FINISHED 2 ship 1 ship 2 ship 3 ship 4 ship 6 ship 7 ship 8 ship 9 ship 10 ship 11 ship 12 ship 17 ship 18 ship 19 ship 20
ship 22