Good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins, Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea video yake hapa unaweza kuitazama.
Bonyeza play kuitazama.
Friday, 25 November 2016
Video mpya ya Kcee Ft Tekno ‘Tender’ itazame hapa…
Audio imetayarishwa na #Mystro,
Tuesday, 22 November 2016
Video: Justine Skye ft. Wizkid – U Don’t Know
Roc Nation’s Diva Justine Skye, known also as The purple-haired unicorn, Returns with the most ancipated visuals to her Love infused single titled “U Don’t Know” featuring international flex/Nigerian Star Wizkid.
New Video: Rich Mavoko f/ Diamond – Kokoro
Rich Mavoko ameachia video ya wimbo aliomshirikisha bosi wake, Diamond Platnumz ‘Kokoro.’ Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Abydad na Lizer. Itazame hapo chin
Subscribe to:
Posts (Atom)