HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 16 December 2016

Diamond Platnumz ft Neyo - Marry You (Official Audio)

VideoMPYA: Q Chillah time hii katuletea video yake mpya ‘Sungura’


Ni msanii wa Bongo Fleva, Q Chillah leo Dec 15, 2016 ameachia video mpya ‘Sungura’, video hiyo mpya imeongozwa na director Justin Campos wa Afrika Kusini.
Ukishaitazama hii video hapa usisahau kutuandikia maoni yako ili mkali huyo akipita aone kutoka kwa watu wake

Video: Mr Nay – Sijiwezi


Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego, ameachia video mpya ya single yake ambayo inaitwa ‘Sijiwezi’. Video imeongozwa na Hanscana.

video mpya ya Chris Brown Ft Usher na Gucci Mane ‘Party’ Enjoy…


Kabla mwaka hujaisha Chris Brown ana ngoma na video mpya kwaajili yako mpenzi wa rnb na ngoma za kujirusha…
Chris Brown katoa video ya “Party” akiwa na Usher na Gucci Mane, wimbo huu upo kwenye album yake ya nane Heartbreak on a Full Moon,inayotoka mwaka 2017.

Wednesday, 14 December 2016

Music: Nandy – One Day

Msanii Nandy baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa “Nagusagusa”, ameachia hii mpya inaitwa “One Day”, Producer Ringtone, Mastered by P funk.

Monday, 12 December 2016

New Video: Vanessa Mdee & Jux – Juu

Vanessa Mdee na Jux wameachia video ya wimbo wao Juu iliyoongozwa na Justin Campos. Jionee.