HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday, 17 September 2016

Video: P Square wameileta hii mpya inaitwa ‘Bank alert’

Kutoka Lagos Nigeria, Afrika… kutana na mpya kutoka kwa P Square inaitwa ‘bank alert‘ na inakua video nyingine wao kuonekana pamoja baada ya ile ya Diamond toka stori za wawili hawa kugombana ziliposambaa.

Behind the scenes: Video ya RayVanny ‘Natafuta kiki’


Video hiyo mpya ilitayarishwa na KWETU STUDIO

Video: Alice kella – Siri Si Siri

Msanii mwenye sauti ya kipekee katika mziki wa bongo fleva Alice kella ameachia video mpya ya wimbo “Siri Si Siri”, Video imeongozwa na Jukya kutoka Goba Studios.

Video: Mario – I Need More

Msanii Mario baada ya kimya kirefu ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “I Need More

Friday, 16 September 2016

Video: Flavour – Obianuju

Msanii kutoka Nigeria. Mr Flavour ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Obianuju”, angalia hapa chin

EXCLUSIVE: Mziwanda na Shilole waeleza kilichotokea mpaka wakapostiana Instagram jana


Wasanii wa bongofleva Shilole na Nuh Mziwanda waliwahi kuwa wapenzi lakini wakaachana na baada ya hapo Shilole alionekana kutotaka hata kusamiliana na Nuh japokua walifikia kupatanishwa.
Banda ya haya yote September 15 2016 wawili hawa wamepostiana Instagram kwa mara ya kwanza toka kuachana kwao, hapa chini ukibonyeza play utawasikia wakieleza ilivyokua mpaka wakapatana.

Sheria ya mitandao yaeendelea kung’ata, 5 wafikishwa mahakamani kwa makosa tofauti

Sheria ya mitandao imeendelea kung’ata, baada ya wakazi watano wa Dar es Salaam kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusomewa mashtaka tofauti ya kumdhalilisha Rais na Jeshi la Polisi kwenye mitandao.
whatsapp-android-e1441334577402-930x704
Katika kesi ya kwanza, Dennis Temu (26), ambaye ni fundi magari anayeishi Tabata, alisomewa mashtaka ya kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwenye mtandao wa WhatsApp.
Wakili wa Serikali, Salum Mohammed alidai mbele Hakimu Mkazi Mkuu, Emilius Mchauru kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Agosti 30, 2016 akiwa Tabata Bima, wilayani Ilala kwa kutumia mtandao wa WhatsApp kusambaza ujumbe usemao; “Nipo tayari kwa Ukuta naomba wanikabidhi askari 10 nipambane nao wakinishinda Mungu anihukumu. Tupigane mkono kwa mkono ‘pumbav’… zao”.
Temu amekana shtaka hilo na upande wa mashtaka ulidai upelelezi haujakamilika.
Mshtakiwa aliachiwa kwa dhamana baada ya kukamilisha masharti ya kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika ambao walisaini dhamana ya Sh500,000. Kesi hiyo itatajwa tena Oktoba 12.
Katika kesi nyingine, Suleiman Nassoro (20), fundi umeme anayeishi Kigogo Mbuyuni, amesomewa mashtaka ya kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwenye ukurasa wake wa Facebook.
Mshtakiwa huyo anadaiwa kuandika ujumbe usemao; “safi sana aisee, mi naona wangekufa kama 20 hivi. Halafu Simon Sirro tumuulize mazoezi wanafanyia wake zao au” ambao aliutuma Agosti 25.
Lakini Nassoro amekana kutenda kosa hilo na upande wa mashtaka ulisema haujakamilisha upelelezi, jambo lililofanya Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi kuahirisha kesi hiyo hadi Septemba 27 itakapotajwa tena.
Mwingine ni dereva Juma Mtatuu (19) anayedaiwa kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwa kutumia WhatsApp kwa kuandika; “huyu hata akifa ataenda peponi na kufanya mazoezi kote kule wamekufa Mbagala. Mimi nitakuwa wa kwanza kuandamana kule Kahama. Tarehe 1 Naelekea Kahama kwa Ukuta mimi nitakuwa namba moja kushika bendera ya Ukuta. Kifo kipo tu, usiogope kwani mawe na mapanga yameisha?”
Pia, mkazi wa Tegeta kwa Ndevu, Shakira Abdallah Makame amefikishwa mahakamani hapo akikabiliwa na shtaka la kulidhalilisha Jeshi la Polisi kwa kutumia WhatsApp.
Katika ujumbe wake, Shakira anadaiwa kusema; “wakati tunajiandaa na Ukuta, wao wanajiandaa na ujambazi safi sana majambazi”.
Denis Wilson Mtegwa (27), alikuwa mmoja waliopandishwa kizimbani na kushtakiwa kwa kumdhalilisha Rais John Magufuli katika ujumbe wa WhatsApp alioutuma Agosti 24 akiwa Ubungo External wilayani Ubungo.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Kisutu, Dk Yohana Yongolo, ujumbe usemao; “JPM sijui anawaza nini kichwani, hata samahani hajui au nilikosea hajui. Nchi imefika hapa kwa sababu ya mtu mmoja aliyeamua kujilipua ufahamu wake.

Mkemia Mkuu kubaini waliozaliwa na jinsi mbili na kueleza ni ipi jinsi tawala yenye nguvu zaidi


3019942-poster-p-the-marketing-challenge-of-99-dna-testing-company-23andme



Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali itakuwa na uwezo na mamlaka ya kuchunguza watu waliozaliwa na jinsi mbili na kubaini jinsi tawala yenye nguvu zaidi.

Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wa Mwaka 2016, uliopitishwa juzi usiku saa nne bungeni unampa Mkemia Mkuu mamlaka ya kuchunguza na kubaini jinsi ya mtu na kutatua utata kwa mtu atakayekuwa amezaliwa na jinsi mbili.
“Waheshimiwa wabunge naona wengi wenu mnadhani mkemia mkuu kazi yake ni kuchunguza vinasaba kubaini uhalali wa mzazi na mtoto, maana naona wabunge wengi wamelishabikia hilo, lakini katika teknolojia ya vinasaba yanahusu pia utambuzi wa jinsi, watu unakuta wanawake au wanaume wanazaliwa jinsi ya kike na kiume, kwa hiyo tunaangalia jinsi tawala ni ipi ina nguvu,” alisema Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.
Ummy alikuwa akijibu michango ya wabunge waliochangia wakati wa kujadili Muswada wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu 2016 kabla ya kuupitisha juzi usiku, waliotaka mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu kutoa elimu kwa wananchi juu ya shughuli zake.
Alisema kwa sheria hiyo, sasa mkemia mkuu kupitia maabara yake anaweza kusema jinsi ya kike au ya kiume ndio yenye nguvu, lakini pia kuna suala la kuhakikisha utambuzi wa mwanadamu hasa wakati yanapotokea majanga pamoja na watu wanaosafiri kwa makundi.
Alikubaliana na wabunge kuwa iko haja ya kuwaelimisha wananchi juu ya kazi za maabara ya mkemia mkuu ambao wengi wao wanadhani inafanya kazi hiyo tu ya kubaini vinasaba vya mzazi na mtoto, lakini sasa wafahamu hata waliozaliwa na jinsi mbili wanaweza kutegua utata huo kwa kubaini jinsi tawala au jinsi yenye nguvu zaidi kama ni ya kiume au ya kike.

Maneno matatu aliyoyaandika Shilole baada ya kumpost Nuh Mziwanda




Leo September 15 2016 Mrembo kutoka Bongoflevani Shilole amezichukua headlines baada ya kupost kwa mara ya kwanza aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Nuh Mziwanda, Shilole ametumia mtandao wake wa Instagram kupost picha ya Nuh na kuandika maneno haya.
God Bless u‘>>>Shilolescreen-shot-2016-09-15-at-12-16-54-pm
ULIMISS HII  YA LINNAH KUMPOST IDRIS NA MASHABIKI KU COMMENT VIBAYA HAYA NDIO MANENO YA LINNAH ITAZAME HII VIDEO HAPA CH

Picha: Wasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete

sc


Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi nyumbani kwake na kula nao chakula cha mchana.

d-mond
 
Diamond na Rais mstaafu, Jakaya Kikwete
JK ambaye ni mmoja kati ya marais ambaye amesupport sana wasanii wa muziki nchini, aliwaalika wasanii hao nyumbani kwake na kuzungumza nao mambo mbalimbali kuhusu muziki wao.
Mmoja kati ya viongozi wa juu wa label hiyo, Sallam alimshukuru rais huyo kwa kuwaalika nyumbani kwake na kuzungumza nao mawili matatu kuhusu muziki.
“Former President JM Kikwete and Former First Lady Mama Salma Kikwete. Asanteni kwa mwaliko wenu!! Allah awape afya njema,” Sallam aliandika instagram.
sc
Wasanii wa WCB pamoja na JK
mavoko
Mavoko akimkabidhi JK CD ya wimbo wake

d-mondw

salam-na-jks
ss
wwf


Wednesday, 14 September 2016

Video: Chemical Ft. Centano – Am Sorry Mama

Rapper wakike anaye fanya vizuri kwasasa Chemical ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Am Sorry Mama”, amemshirikisha Centano. Video imeongozwa na Minzi Mims

Ben Pol kuja na remix ya Moyo Mashine akiwa na ChidinmaBy Rama Nnauye

ben-pol1

Mkali wa muziki wa RnB Bongo, Ben Pol amesema anatarajia kuja na remix ya wimbo wake, 
Moyo Mashine akiwa na msanii wa Nigeria, Chidinma.
Hadi sasa ‘Moyo Mashine’ umekuwa wimbo wa Ben Pol wenye mafanikio makubwa.
chidinmaekile-20160914-0002
Chidinma
Muimbaji huyo,kuwa remix hiyo itakuwepo kwenye album yake mpya.
“Ngoma ambayo inakuja ni Moyo Mashine remix ambayo nimefanya na Chidnma kutoka Nigeria
,” amesema. “Nilimsikilizisha nyimbo nyingi lakini aliupenda huo, nikaona sawa,” ameongeza.
“Na pia kuna nyimbo nyingine tena nimefanya naye muda wake ukifika nitauzungumzia huo wimbo.
 Na hizi nyimbo zote zitakuwa katika album yangu mpya ambayo nategemea itatoka baada ya mwezi
 Disemba.”

Tuesday, 13 September 2016

Master J aliniambia sijui kuimba – Harmonize

Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS.

harmonize-bongo
Muimbaji huyo ambaye alishiriki shindano la BSS mwaka 2012 na Walter Chilambo kuondoka na taji hilo, amesema baada ya kuambia hajui kuimba katika shindalo hilo alijiangalia na akajikuta ni kweli alikuwa hajui kuimba.
“Hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kutokubaliana na matokeo, the way nilivyokuwa naimba kwenye BSS, hata mimi ningekuwa ni jaji, ningesema wewe huwezi Walter Chilambo anaweza,” alisema Harmonize. “Sikupaniki kwa sababu toka nikiwa nje Master J aliambia tangu ukiwa nje nilikwambia no, kwa Master J alinichana kabisa hajui kuimba,”
Muimbaji huyo alisema kauli hiyo haikumkatisha tamaa kwani aliendelea kupambana na kutafuta njia yakutokea.
“Mimi nilikuwa naimani moyoni mwangu, kwamba kuna siku Watanzani wataisikia sauti yangu, japo kuwa ukimwelezea mtu mwingine mimi nakipaji hichi, naimba anasema wewe hujui, Master akaniambia wewe hujui, lakini kwa mtazamo wake alikuwa sahihi kwa sababu the way nilivyokuwa naimba hata kama ningekuwa jaji ningejitoa. Lakini mimi moyoni mwangu nilikuwa nasema ninakitu fulani, sikukata tamaa nikaendelea kufanya muziki mzuri na kweli Mungu ameniona sasa hivi nimesikika,”
Pia alisema alikuwa anahudhiria show mbalimbali ili kujifunza jinsi ya kuperfom katika matamasha mbalimbali.

AudioMPYA: Baraka The Prince na Alikiba wametuletea hii single mpya…


Ni Single mpya iitwayo Nisamehe ambayo ilirekodiwa April 27, 2016
 katika kwa producerEmma The Boy  na wakali kutoka kwenye lebel ya Rockstar
 4000 Baraka The Prince na Alikiba ambapo leo ndio wameitambulisha rasmi katika
vituo mbalimbali vya radio.

ULIIKOSA HAYA MANENO YA BARAKA THE PRINCE KUHUSU WALIOSEMA AMESHINDWA KUONGEA KIINGEREZA KWENYE MAHOJIANO AFRIKA KUSINI?
PLAY HAPA CHIN

VIDEO: Hali ya waathirika wa tetemeko Bukoba

Tetemeko la ardhi lilitokea kanda ya ziwa ambapo madhara makubwa yamekuwa katika mkoa wa Kagera kusababisha vifo 16 na kuacha majeruhi zaidi ya 253 na wengine kubaki bila makazi.
Kwenye Video hii mtangazaji wa Clouds TV Ceaser Redemptius amezungumza na waathirika wa tetemeko Kagera kujua hali ilivyo kwa sasa ambapo kwa sasa wanalala nje baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Kingine kwenye video hii Ceaser Redemptius, amefika kwenye familia ambayo imekumbwa na msiba wa mpendwa wao ambaye alifariki kutokana na Tetemeko la ardhi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

Ommy Dimpoz katuonyesha picha nyingine kutoka kwenye video yake na Ali Kiba ‘Kajiandae’.


Ikiwa leo ni siku yake ya kuzaliwa ,Bongo Fleva Staa Ommy Dimpoz katuonyesha picha nyingine kutoka kwenye video yake na Ali KibaKajiandae‘.
Hii ni miongoni mwa collabo zinazosubiriwa kwa hamu zaidi kwenye bongo fleva mwaka Huu, Itakuwa collao ya pili ya Ommy Dimpoz na Ali Kiba baada ya ‘Nai Nai’.
 ommy-d

ScHoolboy Q ana video mpya akiwa na Miguel & Justine Skye ‘Overtime’ Itazame hapa.

Rapa ScHoolboy Q kafumua video yake mpya “Overtime,” kutoka kwenye Blank Face LP akiwa na Rnb staa Miguel na Justine Skye.





Chris Brown agoma kusimama wakati wa kuimba wimbo wa taifa.


Chris Brown ameshangaza wengi tena baada ya kuamua kuka chini wakati unaimbwa wimbo wa taifa la Marekani kwenye mchezo wa kikapu wa watu maarufu.
Breezy alifanya hivi pamoja na mastaa wengine kwenye mchezo huo wa kikapu wa radio ya Power 106 ya mjini Los Angeles Jumapili ya Sept. 11 ikiwa ni miaka 15 toka tukio la kigaidi la 9/11 kwenye majengo ya World Trade Center.
Kabla wimbo haujaimbwa msanii Tank alielezea issue ya kukaa na kusimama wakati wimbo huu unaimbwa “I understand everybody’s exercising their right to stand or sit and exercising their right to freedom and justice,But in the wake of 9/11, please understand the fact that real men, women, and children lost their lives for this very thing that we’re able to stand for today.”
chris-14
Tabia hii ilianzishwa na American Football star Colin Kaepernick wa klabu ya San Francisco 49ers huku yeye akipinga unyanyasaji wa polisi kwa watu weusi.

New Video: Paradise – Maneno

Video ya wimbo wa msanii chipukizi ‘Paradise’ uitwao Maneno na uliotayarishwa na producer Star J. Video imeongozwa na Tonee Blaze.

Picha: Harmonize na Jacqueline Wolper wala raha Serengeti

Mkali wa wimbo ‘Matatizo’ Harmonize pamoja na mpenzi wake Jacqueline Wolper walijiachia weekend hii katika mbuga ya Serengeti.
ommy
Wawili hao waliondoka Dar es salaam jumamosi hii (Septemba 10) na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya weekend na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja Raymond Jumatatu hii kwa ajili ya show ya Iddi Mkoani Tanga.
Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana 😍😍 Harmonize.
Kwa upnde wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya tour ambayo iliwapeleka ameandika: The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other. This left me with fond memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting #napandasafaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!
Angalia picha zaidi.
2e
aa
hh
q1
qeeeeeeeeeee
wd
wdqs
ww

Video: Sauti Sol f/ Redfourth Chorus – Kuliko Jana

Majagina wa muziki wa Afrika Mashariki na washindi wa tuzo kibao, Sauti Sol (Kenya) wameachia video ya wimbo wao unaofanya vizuri, KULIKO JANA, uliopo kwenye santuri yao ya tatu: Live and Die in Afrika

Sunday, 11 September 2016

VideoMPYA:Malaika anatualika kuitazama hii ‘Rarua’


Hii ni time nyingine tena ya kuenjoy na mdundo mpya kutoka kwa staa wa bongo flavour Malaika ambaye alishawahi kumiliki mdundo wa ‘salesale‘ aliomshirikisha producer Mensen Selekta na sasa kaileta hii ya ‘Rarua
Unaweza kubonyeza Play hapa chini kisha ukimaliza kuitazama niachie comment yako ili baadae Malaika apite kuzisoma.

New Video: Mzuri Pesa – King Crazy GK


Rapa kutoka kundi la East Coast Team, King Crazy GK amevunja ukimya kwa kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Mzuri Pesa’. Audio imeandaliwa na producer Aloneym na kufanyiwa mastering na Wanene Entertaiment

Picha,Harmonize na Jackline Wolper kwenye mizunguko yao.


Hata baada ya kuwa na mengi mitandaoni kuwa hawata dumu kama wapenzi, WCB Staa Harmonize na Jackline wolper wamethibitisha kuwa wanaishi vizuri tu kama mtu na mpenzi wake,
Hizi picha tofauti wakiwa kwenye mizunguko yao Dar es salaam wiki hii.
w1 w2 w3 w4 w5 w6 w7 w8
PATA STORI KIRAHISI ZAIDI,SAMMISAGO.COM I

VideoMPYA: Ile video ya TID na Joh Makini ndio hii imetoka..

Ni video mpya ya msanii TID iitwayo Confidence ambayo amemshirikisha rapper Joh Makini, video imeongozwa na director Travel wa kwetu Studios.



Hii video mpya ya BarnabaLover Boy‘ imefanyika Tanzania na Afrika Kusini, video imeongozwa na Msafiri wa Kwetu studios.