HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 13 September 2016

Picha: Harmonize na Jacqueline Wolper wala raha Serengeti

Mkali wa wimbo ‘Matatizo’ Harmonize pamoja na mpenzi wake Jacqueline Wolper walijiachia weekend hii katika mbuga ya Serengeti.
ommy
Wawili hao waliondoka Dar es salaam jumamosi hii (Septemba 10) na kuelekea Arusha kwa ajili ya mapumziko ya weekend na baadae kuungana na Rich Mavoko pamoja Raymond Jumatatu hii kwa ajili ya show ya Iddi Mkoani Tanga.
Wolper kupitia instagram aliandika: Asante Raj wangu kwa kunipeleka vacation… nime enjoy saana 😍😍 Harmonize.
Kwa upnde wa Abby ambaye ni mmiliki wa kampuni ya tour ambayo iliwapeleka ameandika: The experience we had together was extremely amazing! I Was so impressed with the way you guys handle each other. This left me with fond memories of the entire trip to Serengeti .Thank you so much for trusting #napandasafaris to plan for your vacation .Can’t wait for our next plans as we discussed and the preparations has started now!
Angalia picha zaidi.
2e
aa
hh
q1
qeeeeeeeeeee
wd
wdqs
ww

No comments:

Post a Comment