HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday 9 July 2016

Entertainment Hii video ya Francis and the Lights Ft Kanye West & Bon Iver ‘Friends’ itazame hapa.























Francis and the Lights wametoa video ya wimbo mpya “Friends” wakiwa na msanii Kanye West na Bon Iver. Vernon na Yeezy walifanya kazi pamoja kwenye album ya Kanye West ya My Beautiful Dark Twisted Fantasy’ kwenye wimbo kama “Lost in the World” na “Monster.” na pia ameandika nyimbo za Kanye kama “I Am a God,” “Hold My Liquor,”na “I’m in It.”

Friday 8 July 2016

Video mpya ya Wiz Khalifa na Juicy J ‘All Night’ itazame hapa.

Rapa Wiz Khalifa, Juicy J na TM88 wametoa video yao mpya ya “All Night”. Juicy ni producer kwenye lebo Ya Wiz Khalifa ya Taylor Gang.

Picha: Snoop Dogg amzawadia Kobe Bryant gari hili


Rapper mkongwe Snoop Dogg ni shabiki mkubwa wa mpira wa kikapu hasa timu ya Lakers na mchezaji wake aliyekuwa akimkubali ni Kobe Bryant.
snoop-4
Baada ya Kobe aka Black Mamba kutangaza kustaafu, Snoop amempa gari classic staa huyo ambalo lina picha ya Snoop akiwa amevalia jezi ya Lakers na kushikilia kikapu cha Larry O’Brien.
Gari hilo limepambwa na rangi za Lakers nje na ndani na wakati anakabidhiwa gari hilo Snoop aliandika Instagram “The gift that keeps on giving,Enjoy it mamba.”
Tazama picha zaidi:
snoop-1
snoop-2
snoop-3

Tecno Camon C9 yaingia sokoni kwa kishindo



Simu kali ya Tecno Camon C9 yenye uwezo wa hali ya juu katika kupiga picha ikiwa na Camera mbili (Mbele na nyuma) za Megapixel 13, uwezo wa 4G LTE na teknolojia mbali mbali za kisasa imeingia rasmi sokoni. Simu hii ni miongoni kwa simu za kisasa kuingizwa nchini, na inapatikana kwa bei ya kawaida ya Tsh.400,000
Tecno C9 Banner

Diamond, AY, Alikiba, Joh Makini, Yamoto Band, DJ D-Ommy watajwa kuwania tuzo za AEA Marekani



Diamond Platnumz, AY, Alikiba, Joh Makini na DJ D-Ommy na wengine wametajwa kuwania tuzo za Afrika Entertainment Awards, USA.
13239470_884730191655199_698592395577447000_n
Ni Diamond ndiye aliyetajwa kuwania vipengele vingi zaidi vikiwemo Best Male Single, Best Video of The Year, pamoja na People’s Choice. AY na Alikiba wanawania kipengele kimoja cha Best Collaboration kwa nyimbo Zigo Remix na Nagharamia.
Joh Makini anawania vipengele viwili, Best Hip hop Artist na Best Video of the Year kwa wimbo wake Don’t Bother. Achia Body ya Ommy Dimpoz inawania pia kipengele hicho.
Vanessa Mdee anawania tuzo ya Best Female Single kwa wimbo wake Never Ever, Linah kipengele cha Best Female Artist, Yamoto Band – Hottest Group.
Vijana wa WCB Harmonize na Raymond nao wametajwa kuwania Best New Artist na Best New Talent (respectively).
DJ D-Ommy wa Clouds FM ni dj pekee wa Tanzania aliyetajwa kuwania kipengele cha Best DJ huku Millard Ayo akitajwa kuwania kipengele cha Best Blogger.
Kuwapigia kura watanzania waliotajwa bonyeza hapa.
Tuzo hizo zitatolewa October 22, New Jersey Mareka

Harmonize: Chumba cha video ya ‘Matatizo’ ndicho nilichokuwa nimepanga


Harmonize amefafanua kuwa chumba kinachoonekana kwenye video ya ‘Matatizo’ ndicho chumba chake alichokuwa anakaa huko Kiwalani kabla hajawa staa.
13092352_982346051872778_572349746_n
Akiongea na Magic FM Jumanne hii, Harmonize alisema kuwa kuimba nyimbo za matatizo uliyowahi kupitia zinasaidia kuwa inspire watu japo wengine wanadai kuwa kufanya hivyo ni ushamba.
“Muda mwingine kueleza matatizo uliyoyapitia ni kama ushamba hivi, muda mwingine kueleza vitu ulivyopitia ni kitu kizuri kwa kuwa unawa inspire vijana wengi sana ambao wapo mtaani hata wazee pia waliokaribia kukata tamaa,” alisema Harmonize.
“Kwenye video ya matatizo kwa asilimia kubwa vyote nilivyoimba ni historia yangu kabisa. Hata kile chumba nilichoshoot video ndio chumba nilichokuwa nimepanga wakati nakaa Kiwalani,” aliongeza.
Aidha Harmonize aliongeza kuwa wakati anakaa kwenye chumba hicho aliweka kapeti lake la bei rahisi na kigodoro pekee.

‘Facebook sasa kutuma na kupokea fedha bure’


Moja ya habari zilizoandikwa kwenye magazetini hii kwenye gazeti la Mtanzania yenye kichwa cha habari ‘Facebook sasa kutuma  na kupokea fedha bure’
Gazeti hilo limeandika kuwa utandawazi unazidi kushika kasi ambapo kadri siku zinavyozidi kwenda mambo yanabadilika. Ndiyo maana sasa hivi kuna mambo mengi ambapo licha ya kuwa Tanzania mambo mengine yanachelewa kutufikia, lakini siku moja tutatumia huduma hizo kama ilivyo kwa mataifa yaliyoendelea kiteknolojia.
Kila kukicha mmiliki wa mtandao huo, Mark Zurgbeck amekua na mawazo mapya ya kuvutia kwa wateja kwenye huduma yake hiyo kwa kubuni mambo mbalimbali yanayowagusa wateja wake.
Kama wewe ni miongoni mwa wanaotumia mtandao huu kupitia App ya Messenger tambua kuwa siku chache zijazo utakua na uwezo wa kufanya malipo ya bidhaa au kutuma na kupokea fedha kupitia mtandao huo.
Huduma hiyo iliyobatizwa jina la PayPal itakua ikitumika kama ilivyo ile ya simu japo cha kufurahisha hapa ni kuwa huduma hiyo haitakuwa na makato ya aina yoyote kama ilivyo kwa mitandao ya simu, isipokuwa tu itawahusu watumiaji wa Debit Card pekee na walio na umri wa miaka 18 na kuendelea.
Huduma hiyo itaanza kutumika nchini Marekani  ambapo mtu atatuma na kupokea fedha huku ikitarajiwa kusambaa kwenye mataifa mengine.
Namna ya kutumia huduma hii fungua sehemu yako ya Chatting kisha chagua More halafu nenda kwenye alama ya $ halafu nenda palipoandikwa ‘Pay’ kisha unamalizia na sehemu iliyoandikwa ‘Add New Debit Card kisha utaulizwa kiasi unachohitaji  kulipia utaingiza na kuletewa risiti inayoonyesha kuwa malipo yamekamili

Video: Desiigner – Caliber


Desiigner is out to prove he’s of a higher “Caliber” with his latest music video.
After dropping a XXL Freshmen cypher verse, the “Panda” hitmaker reveals the visual for a single off his New English mixtape.

Thursday 7 July 2016

Polisi Marekani wawaua watu weusi wawili katika matukio mawili tofauti yaliyozua hasira kali

Jamii ya watu weusi nchini Marekani imekumbwa na huzuni pamoja na hasira kali baada ya polisi wa kizungu kuwaua watu wawili weusi kwenye matukio mawili tofauti ndani ya siku moja.

Tukio jipya zaidi limetokea kwenye jimbo la Minnesota wakati maandamano yakiendelea kutokana na kuuawa kwa mtu mwingine mweusi huko  Louisiana.
Mpenzi wa Philando Castile alirekodi tukio zima na kulirusha live kwenye Facebook na kumuonesha mtu huyo akiwa ameloa damu huku polisi akimwelekea bunduki.

Mpenzi wake anasema alipigwa risasi wakati alipotaka kuchukua leseni yake ya udereva.Castile alisimamishwa na polisi kutokana na taa ya gari yake kuwa na taa iliyovunjika kwa mujibu wa mpenzi wake anayejulikana kwa jina Lavish Reynolds.
Kabla ya kupigwa risasi, alimweleza polisi huyo kuwa alikuwa ameruhusiwa kutembea na bunduki na alikuwa nayo hapo.
“You shot four bullets into him, sir. He was just getting his license and registration, sir,” Ms Reynolds anasikika akisema kwenye video hiyo.
Polisi wamesema uchunguzi unaendelea na ofisa huyo amepumzishwa.
Tukio hilo limekuja baada ya kuuawa kwa Alton Sterling, aliyepigwa risasi na polisi kwenye tukio lililotokea huko Baton Rouge, Jumanne.

Mamia ya watu waliandamana kwa siku mbili kufuatia mauaji hayo.

Video imesambaa Jumatano hii  Sterling akiwa amelazwa chini na polisi na baada ya kupigwa risasi za kifuani takriban sita.

Polisi wanadai kuwa Mr Sterling alikuwa na silaha.

Tukio hilo lilitokea nje ya duka hata hivyo mmiliki, Abdullah Muflahi, alisema kuwa mtu huyo hakuwa tishio kwa maofisa hao wakati akipigwa risasi.

Sterling, baba wa watoto watano alifariki masaa kadhaa baadaye.

Maofisa waliohusika wamebainika kuwa ni Blane Salamoni na Howie Lake II, nao wamepumzishwa kwa muda.
Matukio hayo yamesababisha hasira kubwa kwa watu mbalimbali wakiwemo mastaa. The Game, Drake, Tyrese, Chris Brown na wengine wameyalaani vikali.





Entertainment Hii video mpya ya Chris Brown ‘Leave Broke’ itazame hapa.


Hii video mpya ya Chris Brown  “Leave Broke.” ikiwa ni ngoma nyingine kali baada ya collabo yake na Wizkid  “Shabba,” wakiwa na French Montana na Trey Songz.

EXCLUSIVE: Nyumba ya milioni 700 wanayoijenga Navy Kenzo

Navy Kenzo ni kundi la muziki wa bongofleva lenye makazi yake Dar es salaam likiundwa na Wanandoa watarajiwa, Aika na Nahreel ambapo hivi juzi walipata dili la kutokea kwenye mabango ya matangazo ya kampuni ya simu.
Ni wasanii ambao pia wamezikusanya pesa zao kutokana na jasho la muziki wanaoufanya ikiwemo tour ya kamatia chini ambayo ni smash hit yao iliyohewani sasa hivi, tazama hii video hapa chini kupata details zote.

Wednesday 6 July 2016

New Video: The Amazing (Izzo Bizness & Abela Music) – Dangerous Boy



Kundi jipya la The Amazing linaloundwa na Izzo Bizness na Abela Music limeachia ngoma yake mpya, Dangerous Boy. Video imeongozwa na Nick Dizzo.

Lionel Messi kahukumiwa miezi 21 jela leo July 6 2016

Mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina anayeichezea klabu ya FC Barcelona ya Hispania Lionel Messi, leo July 6 2016 jina lake limeingia kwenye headlines baada ya hukumu ya kesi yake ya ukwepaji kodi kutoka.
Lionel Messi amehukumiwa miezi 21 jela kutokana na kosa la ukwepaji kodi, hukumu hiyo ya Lionel Messi imetoka kutokana na kosa la kutuhumiwa kukwepa kodi pamoja na baba yake mzazi Jorge Messi kati ya mwaka 2007 na 2009, kiasi cha dola milioni 4.5 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9.8.
Hata hivyo kwa mujibu wa sheria za Hispania kwa watu wanaohukumiwa kifungo cha chini ya miaka miwili, adhabu yao inaweza badilika kutoka kifungo na kulipa faini, hivyo Lionel Messi bado ana nafasi ya kuendelea na maisha yake ya uraiani kama kawaida kama ataamua kulipa faini.
GOLI LA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Top 10 Crazy & Unusual Footbridges

Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
Footbridges are a type of bridge that is only used by us humans (and the occasional dog). While most are boring to look at (but still practical) there is a select few that are simply incredible…
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
..

Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
The Capilano Suspension Bridge
10 – British Columbia, Canada
Made in 1889 the Capilano Suspension Bridge stretches an incredible 450 feet across the Capilano River. While there are 6 more bridges in this same area, this is by far the most impressive.
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
The Web Bridge
9 – Melbourne, Australia
I was hoping this bridge was designed by someone called Mr S.Man but apparently the artist name was Robert Owen. He doesn’t sound like a web slinger.
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
The Monkey Bridge
8 – Tatton Park, UK
This really is a footbridge that is supported by nothing but the 3 balloons you see. While it is just for art purposes and has since been removed, it was definitely one crazy bridge!
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
The Helix Bridge
7 – Marina Center, Singapore
It is probably one of the most aesthetically pleasing  footbridges in the World. With a twisting, helix design and blue LED’s on every join of the structure it looks amazing day and night.
Yorkshire Sculpture Park
Yorkshire Sculpture Park
6 – Yorkshire, UK
This bridge is always making people laugh because they take the time to read the sides of it!
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
Trampoline Bridge
5 – Paris, France
I’ve read blog posts and status updates all saying how much fun it was to cross (bounce) the river Seine in Paris. But strangely they were all lies because this bridge was only a concept and was never made.
La Roche-sur-Yon Train Station Bridge
La Roche-sur-Yon Train Station Bridge
4 – La Roche-sur-Yon, France
This footbridge going across the La Roche-sur-Yon train track, it was designed by Bernard Tschumi Architects. Opened in 2008 it is still one of the most innovative bridge designs in the world.
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
Drayton Bassett Bridge
3 – Birmingham, UK
Here in the UK there are castles in just about every corner of the island. But even I have never seen one that goes across the water before!
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
The Rolling Bridge
2 – London, UK
Make by Heatherwick Studio is a 39-foot footbridge built in 2004 to act as a walkway over a small section of London’s Grand Union Canal. Thanks to a powerful hydraulic system the bridge can curl up an octagon allowing boats to cruise through the canal beside it.
Top 10 Crazy & Unusual Footbridges
Shiniuzhai National Geological Park Bridge

Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds

Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
For me, the excitement of seeing my first ever bunk bed was a joyous moment. Maybe it is because I grew up a single child and never got to see one, or maybe I just really do find bunk beds a lot of fun. But today I wanted to try to find out just what is the very best of these types of beds so I thought I would bring you…
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
..
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Mimondo Designed Bunk Bed
10 – Clean, Modern living.
This rather futurist looking bunk bed is from Mimondo and has a great, fresh look to it. I am sure it will cost the earth to own, but it does bring a fresh new look to the World of bunk beds.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Jeep Truck Twin Bunk Bed With Toy Chest In Front
9 – Under Cover Driving
Now, this brings a smile to the face, using simple covers and basic framework to bring you something that really does stand out from the crowd.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Water wheel Bunk Bed
8 – Don’t wet the bed!
This amazing water wheel bunk bed is just a pure joy to look at. Seen at Mt. Olympus Resort, Wisconsin, the USA it fits perfectly with the water park theme, but it would look great anywhere it was placed. And before anyone asks no it was never a real water wheel.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Tractor Bunk Bed
7 – Bedtime for little farmers
While this bed is once again a unique build it is not to complicate to replicate, but will require a high level of DIY and craft skill. Either way you look at it this is a great design and simple build that would make any budding little farmer more than happy to go to sleep.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Sofa that transforms into a set of bunk beds
6 – Seat to Bed in 10 easy moves
This cool transforming sofa was first seen in my post ” Top 10 Unusual Sofas” as was liked by a lot of people. And while it does have a cool transforming function to make in back into a sofa, it is a rather boring looking bunk bed, just a very creative & space-saving one.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Fold Away Bunk Bed
5 – The ultimate Space Saver
Space saving ideas do not get any better than this, what you are looking at is the World’s only fold away set of bunk beds! Not only is it a good idea but also rather stylish too.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Bunk Bed with Tree Ladder
4 – Tree-mendous Fun!
Made by AKSL arhitekti from Slovenia this rather impressive tree trunk ladder bunk bed is the perfect combination of modern looks, creative design and the ladder does indeed add an element of fantasy about it. Well, if I was 5 I would love it. (still do!)
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Double Decker Bus Bunk Bed
3 – Ding, ding, all aboard for sleepy town!
This rather clever use of the London Double Decker bus design just brings a smile to the face. Made by ‘Bedtime Bedz’ in Chester it is well worth looking up if your little one loves buses even half as much as I did.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
Double sided, Double bunk bed design
2 – Double the price, double the beds!
This designer made marine bedroom is done by ‘House of Turquoise’ and is just pure class. With not one set, but 2 sets of bunk beds sharing a single ladder it not only saves space but is in fact rather amazing just to look at as well.
Top 10 Creative and Unusual Bunk Beds
VW Bunk Beds
1 – Indoor Camping at its very best!
This incredible bunk bed was made for a Volkswagen loving 2-year-old and is nothing but pure class. It is just a shame you can’t buy them.