HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 8 July 2016

Diamond, AY, Alikiba, Joh Makini, Yamoto Band, DJ D-Ommy watajwa kuwania tuzo za AEA Marekani



Diamond Platnumz, AY, Alikiba, Joh Makini na DJ D-Ommy na wengine wametajwa kuwania tuzo za Afrika Entertainment Awards, USA.
13239470_884730191655199_698592395577447000_n
Ni Diamond ndiye aliyetajwa kuwania vipengele vingi zaidi vikiwemo Best Male Single, Best Video of The Year, pamoja na People’s Choice. AY na Alikiba wanawania kipengele kimoja cha Best Collaboration kwa nyimbo Zigo Remix na Nagharamia.
Joh Makini anawania vipengele viwili, Best Hip hop Artist na Best Video of the Year kwa wimbo wake Don’t Bother. Achia Body ya Ommy Dimpoz inawania pia kipengele hicho.
Vanessa Mdee anawania tuzo ya Best Female Single kwa wimbo wake Never Ever, Linah kipengele cha Best Female Artist, Yamoto Band – Hottest Group.
Vijana wa WCB Harmonize na Raymond nao wametajwa kuwania Best New Artist na Best New Talent (respectively).
DJ D-Ommy wa Clouds FM ni dj pekee wa Tanzania aliyetajwa kuwania kipengele cha Best DJ huku Millard Ayo akitajwa kuwania kipengele cha Best Blogger.
Kuwapigia kura watanzania waliotajwa bonyeza hapa.
Tuzo hizo zitatolewa October 22, New Jersey Mareka

No comments:

Post a Comment