HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 13 September 2016

VIDEO: Hali ya waathirika wa tetemeko Bukoba

Tetemeko la ardhi lilitokea kanda ya ziwa ambapo madhara makubwa yamekuwa katika mkoa wa Kagera kusababisha vifo 16 na kuacha majeruhi zaidi ya 253 na wengine kubaki bila makazi.
Kwenye Video hii mtangazaji wa Clouds TV Ceaser Redemptius amezungumza na waathirika wa tetemeko Kagera kujua hali ilivyo kwa sasa ambapo kwa sasa wanalala nje baada ya nyumba zao kubomoka kutokana na tetemeko la ardhi.
Kingine kwenye video hii Ceaser Redemptius, amefika kwenye familia ambayo imekumbwa na msiba wa mpendwa wao ambaye alifariki kutokana na Tetemeko la ardhi. Unaweza kuangalia video hii hapa chini.

No comments:

Post a Comment