Economist Intelligence Unit wamefanya utafiti kuhusiana na Miji mikubwa Duniani ambayo ni bora na inafaa zaidi kushi kwa 2016.
Ripoti ya
utafiti huu imetolewa August 18 2016 ambapo utafiti ulizingatia mambo 30
ambayo yanayohusisha usalama, huduma za afya, rasilimali za elimu na
miundombinu. Ripoti imeonyesha kwa mwaka wa sita mfululizo, mji kutoka
Australia umeongoza kwenye miji bora zaidi kwa kuishi Duniani.
Aidha ripoti hiyo imeonyesha mji wa Lagos, Nigeria umekuwa nafasi ya tatu Duniani ya miji mibaya kwa kuishi.
10. Hamburg, Germany9. Helsinki, Finland
8. Auckland, New Zealand
7. Perth, Australia
=5. Adelaide, Australia
=5. Calgary, Canada
4. Toronto, Canada
3. Vancouver, Canada
2. Vienna, Austria
1. Melbourne, Australia
No comments:
Post a Comment