HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Monday, 18 July 2016

okate ameamua kusifia kitu hiki kutoka kwa Diamond..


Kwenye zile post ambazo zimepata likes nyingi na comment nyingi ni pamoja na hii ya Jokate ambayo kapost kipande cha video ambacho kinamuonyesha Diamond Platnumz akifanya mazoezi ya kucheza ya wimbo wake mpya wa Kidogo.
CHIBUKwenye kumbukumbu za wasichana ambao Diamond anahusishwa kutoka nao ni pamoja na Jokate ambaye kwa muda kidogo amekua akitajwa kutoka na Alikiba.
jokatePost hiyo Jokate aliyopost instagram kasindikiza na maneno yafuatayao >>‘You just took choreography ya East African tracks to another sphere, inspirational is an understatement. Moves za kwenye huu wimbo 🙌🏽. I can’t even hate‼️Naendelea kusubiri siku utakayo fanya kazi na team kiba tho- kiroho safi 😊. Hongera kwa kazi nzuri dogo @diamondplatnumz 🔥🔥🔥💥💥💥.

No comments:

Post a Comment