HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 21 August 2016

Maneno ya Diamond Platnumz yanayoashiria ujio wa mtoto wake wa pili….

Mkali wa smash hit iitwayo ‘Kidogo’, Diamond Platnumz amethibitisha ujio wa mtoto wake wa pili kutoka kwa mpenzi wake Zari.
Taarifa hizo staa huyo alizitoa leo August 21, 2016 kwenye mtandao wake wa instagram na kuyaandika haya>>>Ukiwa na Mwanamke Mzuri, Superstar, Ambae shilingi Mia miambili haimpigi chenga, Halaf ana akili, Akakuzalia Mtoto wa kike’
Halaf mtoto nae Star, halaf akawa na Mimba yako Nyingine ya mtoto wakiume.. basi unajionea Mashia MuruaaaaaaaaaaaaaaaaπŸ˜ŠπŸ˜„πŸ˜πŸ˜šπŸ˜…Lol yani Hapa najikuta kama sjui Biligeti Mzee wa KwioπŸ˜ŠπŸ˜† πŸ˜˜πŸ˜πŸ’žπŸ’•πŸ’ Mi nampenda huyu dada’ Diamond Platnumz
ULIIKOSA HII YA USIKU WA BIRTHDAY PARTY YA DJ WA DIAMOND PLATNUMZ BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

No comments:

Post a Comment