HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 22 June 2016

Video: ‘Kama WCB wangenipa Nyumba na Gari nisingejiunga nao’ Rich Mavoko



Perfecto TV wanatuunganisha na stori zote za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines June 22 2016 na moja kati ya stori za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hii ya Rich Mavoko kaeleza kama lebel yake mpya ya WCB wangetumia njia ya kumpa Gari na Nyumba asingejiunga nao, Pia usisahau kuniacha comment yako hapa.
Kikubwa ambacho mimi nimeangalia ni biashara yangu kufika sehemu fulani, unajua ukifanya kazi na watu kuna vitu wanapata na kuna vitu ambavyo vinabadilika kwenye biashara wangekuja kwenye njia ya kunipa gari na nyumba kusema kweli nisinge saini, unajua kama kijana unatakiwa kuishi kwa malengo‘>>>Rich Mavoko

No comments:

Post a Comment