HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 22 June 2016

EXCLUSIVE: Leo Naj kapatikana na kaongea kuhusu ujauzito wa Baraka da Prince


June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa baada ya Naj kurudi bongo akitokea London June 21, kapatikana na kuongelea mbele ya AyoTV
Kusema ukweli mimi naomba msubirie miezi tisa maana hivi vitu sio vizuri nianze kusema hadharani lakini kama ni mimba watu wataona itakapofika hiyo miezi tisaNaj
Zaiti mtazame kwenye hii video hapa chini…

No comments:

Post a Comment