HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 22 June 2016

Hii video mpya ya Beyoncé ‘Sorry’ itazame hapa.


Hii video mpya ya Beyoncé  “Sorry” kutoka kwenye album yake mpya ambayo imeshauza kopi milioni moja LEMONADE
Wimbo huu wa “Sorry” ulikuwa maarufu sana baada ya album kutoka kutokana na mashairi ya kumchana mume wake yaliyomuhusu “Becky with the good hair

No comments:

Post a Comment