HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday, 12 April 2016

ALL POSTS TAGGED "RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli April 11 2016 ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Anne Kilango Malecela na katibu tawala wa mkoa huo Abdul Rashid Dachi baada ya mkoa huo kutoa taarifa zisizo sahihi kuwa hauna Watumishi hewa.
Rais Magufuli ameeleza kuwa baada ya kupata taarifa kuwa Mkoa wa Shinyanga hauna watumishi hewa, aliamua kutuma timu ya ukaguzi iliyokwenda kufanya uchunguzi ambapo hadi kufikia jana Aprili, 10 2016 imebaini kuwepo watumishi hewa 45 huku zoezi likiwa linaendelea katika wilaya mbili za Ushetu na Shinyanga Vijijini.
>>>’Na wale wote wa Shinyanga ambao walisemekana ni zero, hakuna mtumishi hewa, walikuwa tayari wameshalipwa shilingi milioni 339.9, nimejiuliza sana, na nikajiuliza sana na kwa kweli nimejiuliza sana na kwa masikitiko makubwa, kwa nini Mkuu wa Mkoa alisema hakuna mtumishi hewa?’-Rais Magufuli
MTAZAME HAPA CHINI RAIS MAGUFULI ALIVYOTANGAZA KUTENGUA UKUU WA MKOA WA  ANNE KILANGO MALECELA

ULIKOSA MKWARA WA WAZIRI SIMBACHAWENE KWA WAKUU WAPYA WA  MIKOA? ANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa

























































picha jinsi mke wa rais alivoagwa shuleni



Mke wa Rais John Pombe Magufuli  Janeth Magufuli February 17 2016 alirudi katika shule aliyofundisha kwa miaka 15 kabla ya JPM hajawa Rais wa Tanzania


ilifanikiwa kuyanasa matukio yote muhimu na unaweza kutazama katika hii video hapa chini.


Thursday, 1 October 2015


STORI ZAIDI


Lowassa
Baada ya TWAWEZA kusema CCM inakubalika 66 %, haya ni maneno 15 ya Lowassa na 26 ya Zitto Kabwe
Kuelekea uchaguzi mkuu October 25 2015 matokeo ya utafiti wa taasisi ya TWAWEZA...
ZK
Vieo yenye maneno yote ya Zitto Kabwe siku ya kwanza ya kampeni za ACT Wazalendo
Kiongozi wa chama kipya cha kisiasa Tanzania ACT WAZALENDO Zitto Kabwe alikua miongoni...
MG EL

Sentensi 6 kutoka kwenye Twitter page za Edward Lowassa na Dr. John Magufuli.

Mitandao ya kijamii imekua ikitumika sana pia wakati huu wa kampeni kueleka kwenye

\
Screen Shot 2015-09-24 at 12.04.33 PM

 

Chama cha ACT Wazalendo wamejibu kwenye sentensi tisa kuhusu Utafiti wa TWAWEZA… (Audio)

Siku chache baada ya Taasisi ya TWAWEZA kutoa Ripoti ya Utafiti waliofanya kuelekea
Ben Pol

Kwanini hautomuona Ben Pol kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2015.

Ben Pol ambaye ni mwimbaji staa wa R’n’B ambaye ni mshindi wa tuzo...

Unayajua majengo yaliyoweka rekodi kwa urefu zaidi duniani? Nimekusogezea hapa… Dubai, Shanghai, New York City ndio miji inayoongoza kuwa na mpangilio mzuri wa




jengo7

Unayajua majengo yaliyoweka rekodi kwa urefu zaidi duniani? Nimekusogezea hapa…

Dubai, Shanghai, New York City ndio miji inayoongoza kuwa na mpangilio mzuri wa...

GENERAL NEWS