Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Niambie’ baada ya kimya cha takribani miezi nane. Jacqueline Wolper ametumika kama model kwenye video hiyo.
Friday, 17 March 2017
New Video: Harmonize – Niambie
Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Niambie’ baada ya kimya cha takribani miezi nane. Jacqueline Wolper ametumika kama model kwenye video hiyo.
Friday, 10 March 2017
Hii video mpya ya Ariana Grande na John Legend ‘Beauty and The Beast’….
Ariana Grande na John Legend wametoa video yao mpya “Beauty and the Beast” ikiwa ni rekodi ya mwaka 1991 waliyofanya upya.
Rekodi hii iliwahi kufanywa na Celine Dion na Peabo Bryson mwaka 1991 na kushinda tuzo mbili za Grammys, Oscar moja na Golden Globe moja.
Filamu mpya iliyoigizwa ya “Beauty and the Beast” ikiwa na mastaa Emma Watson, Dan Stevens,na Ewan McGregorinatoka March
Friday, 3 March 2017
New Video: Timbulo – Mfuasi
Timbulo ameachia video ya wimbo wake Mfuasi. Wimbo umetayarishwa kwa ushirikiano wa Maximizer & Mr. T-Touch huku video ikiongozwa na Dr. Eddie wa Dreamland Music Entertainment ya Nairo
Wednesday, 22 February 2017
VIDEO: Jengo refu la kwanza duniani litakalokua linazunguka
Friday, 17 February 2017
VIDEO : Mtoto wa miaka minne anaendesha Greda kama mtu mzima
00:00
00:53
ULHuko Huangguang China kuna Mtoto mwenye umri wa miaka 4 tu ambaye kafanya kweli, anaitwa Chen Junyu ambapo wazazi wake wamempa support ya kutosha kumwezesha kuendesha Greda.
Junyu ni shabiki mkubwa wa Wachimbaji na amekuwa akichezea midoli ya aina ya kijiko muda mwingi akiwa nyumbani, tazama kwenye picha na video hapa chini.

Video yake ndio hii hapa chini
Video Player
Video: Alikiba Ft. M.I – Aje Remix
Msanii Alikiba baada ya kufanya vizuri na wimbo wa “Aje”, ameachia rasmi Video mpya ya wimbo wa “Aje Remix”, akiwa amemshirikisha msanii M.I kutoka Nigeria. Tazama hapa chini a
PICHA: Magari 19 anayoyamiliki Cristiano Ronaldo
1. Bugatti Veyron

2. Phantom Rolls-Royce

3. Porsche Cayenne

4. Porsche Cayenne Turbo

5. Porsche 911 Carrera 2 S Cabriolet

6. Mercedes-Benz C-Class Sports Coupe

7. Mercedes-Benz C220 CDI

8. Maserati GranCabrio

9. Ferrari 599 GTB Fiorano

10. Ferrari 599 GTO

11. Audi R8

12. Lamborghini Aventador LP 700-4

13. Bentley GT Speed

14.BMW M6

15. Bentley Continental GTC

16. Audi Q7

17. Audi RS6

18. Aston Martin DB9

19. Ferrari F430
VideoMPYA: Mrembo wetu Nandy video mpya inaitwa ‘One Day
Nandy ambaye ni staa wa hit single ya ‘gusagusa‘ amekusogezea video ya wimbo wake mpya wa ‘One Day’
New Video: Queen Darleen f/ Rayvanny – Kijuso
Video ya wimbo wa Queen Darleen ‘Kijuso’ aliomshirikisha Rayvanny imetoka. Imeongozwa na Hanscana.
Subscribe to:
Posts (Atom)