HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Thursday, 14 April 2016

Entertainment Idris Sultan kahojiwa Kenya kuhusu Wema Sepetu na ile video iliyosambaa

Siwezi kusema tumeachana na Wema lakini ukweli ni kwamba hatuna maelewano, sio kwamba najaribu kusema Wema ni mtu mbaya… ni mtu poa na ile video inawezekana hata hakujua inapostiwa kwenye mitandao, tatizo lilikua ni pale nilipompigia ingetakiwa tufikie kwenye maelewano na sio attitude‘ – Idris


No comments:

Post a Comment