HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Friday, 15 April 2016

Hongera Mr. Blue kwa kufunga ndoa!cheki picha hapo chin

Tunampongeza supastaa wa Bongo Flava Mr Blue kwa kufunga ndoa na baby mama wake Waheeda, ambaye amezaa naye watoto wawili. Blue amefunga ndoa leo April 14 2016 kimya kimya na inasemekana kwamba waliohudhuria ni ndugu na marafiki wachache wa karibu.

blundoa8

blundoa7


blundoa4

No comments:

Post a Comment