HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 17 April 2016

Kama Romeo na Juliet: Diamond na Zari ndani ya mahaba mazito Sweden

Watakufanya utamani kupenda ukapendwa – maake kunakupenda usipendwe na badala yake ikawa tu karaha, mapenzi usiyafurahie tena. Lakini kwa Zari the Bosslady na Diamond Platnumz ni mahaba mazito kama ya Romeo and Juliet kwenye visa vya William Shakespeare. Wenyewe wanajiita Mr and Mrs Smith aka Brad Pitt na Angelina Jolie.



12907310_256888827982328_1748190395_nMapenzi yao (ambayo walau yanadhihirika kwa picha zao za Instagram), yanaweza kuwapa wivu uliochanganyikana na hasira maex wao. Jioneee mwenyewe picha zao wakiwa backstage kabla ya hitmaker huyo wa ‘Make Me Sing’ hajapanda stejini huko Stockholm, Sweden.


12599471_976876742393801_1551428127_n


10570132_187065408343921_585754726_n


10584737_212564039107415_1406505379_n

11378819_776828965781281_300988435_n

No comments:

Post a Comment