Watengenezaji wa magodoro wameendelea kuumiza vichwa zaidi kuingiza sokoni magodoro yanayotumia teknolojia ya hali ya juu
Watengenezaji wa Hispania wametengeneza magodoro yanayoweza kugundua
iwapo mpenzi wako anachepuka. Yakiuzwa kwa £1,200, magodoro hayo
yanamwezesha mtu aliye mbali na nyumbani kuangalia simu yake na
kuangalia kama yanatumika na watu wangapi wamelalia.
Magodoro hayo yanatumia sensa maalum kugundua matumizi yanayotia wasiwasi na kumjulisha mmiliki kupitia app.
Watengenezaji wanadai kuwa ni ngumu kugundua kwa macho kuwa magodoro
hayo yamefungwa kitu kwasababu taknolojia hiyo imefungwa kwenye springi
zake.
Msemaji wa kampuni ya Durmet, watengenezaji wa magodoro hayo, Jose
Antonio Muinos alidai kuwa waliamua kuja na wazo hilo kwasababu takwimu
za usaliti kwenye ndoa na uhusiano zinaonesha kuwa Wahispania ni watu
wasio waaminifu zaidi Ulaya.
“It is a concept that will bring peace of mind to men and women, not
just during the night but also during the day while they are out at work
and the bed should really be being used. On the outside it is just a
normal looking and very comfortable mattress, but inside hides some
cutting-edge technology,” alisema.
‘We think the mattress will do well internationally because it is the
only one in the world that uses this technology and is designed
specifically for the objective of catching cheating partners.”
Kwa mujibu wa mtandao wa Ashley Madison, mji wa Madrid unaongoza kwa kuwa na watu wanaosaliti zaidi ndoa zao.
No comments:
Post a Comment