HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 13 April 2016

Majibu ya kwanini hujasikia Tuzo za Kill hadi sasa yako hapa

uzo za KILI ambazo hutolewa nchini Tanzania kila mwaka kwa kuwatunuku Mastaa mbalimbali kwenye muziki wa Tanzania mpaka sasa imekuwa kama kimya hivi, millardayo.com imepata nafasi ya kuzungumza afisa habari wa Baraza la Sanaa Tanzania ‘BASATA, Alistides Kwizera ambapo ameyazungumza haya……
>>>’msimu hauwezi ukaja ukazinduliwa tu, lazima kuwe na vikao vya awali vya kuangalia michango iliyokuja kwenye tathmini ya tuzo zilizopita ili kuangalia namna gani tunaboresha’

No comments:

Post a Comment