HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Saturday 16 April 2016

uzinduz wa kujenga barabara za juu dar wazinduliwa leo jiji dar




HII NI  PICHA YA DARAJA LA KIGAMBONI JIJI DAR ES SALAAM
TIZAMA PICHA HAPO CHINI



April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia Daraja jipya lakigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda upande wa pili wa kurasini Daraja la kigamboni litafunguliwa rasmi siku ya tareheApril 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli


No comments:

Post a Comment