Wednesday, 13 April 2016
VIDEO: Azam FC walikipiga na Mtibwa Sugar, tazama goli la ushindi
April 13 2016 Azam FC walicheza dhidi ya Mtibwa Sugar katika uwanja wa Manungu Turiani kufanikiwaekichkuwafunga wenyeji wao goli 1-0. Goli la Azam FC lilifungwa na nahodha John Bocco kwa mkwaju wa penati. Jikumbushe kwa kutazama goli lao hapa

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment