HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 17 April 2016

VIDEO: Mbwa kapewa jina la Ronaldog kisa ni uwezo wake wa kuuchezea mpira


\


April 14 2016 kama utakuwa ni mfuatiliaji wa vituo vya tv kama BBC najua utakuwa umeona video ya Ronaldog, mbwa mwenye uwezo wa kuuchezea mpira, Ronaldog ni mbwa ambaye alinunuliwa katika shughuli za hisani na Peter Simpkins.
Peter kwa sasa amempa mbwa huyo jina la Ronaldog kwa heshima ya nyota wa soka waReal Madrid Cristiano Ronaldo ambaye nae ni mtaalam wa kuuchezea mpira, Peterakihojiwa na BBC alieleza kuwa aligunduwa uwezo wa mbwa huyo kuuchezea mpira siku chache baada ya kumnunua

No comments:

Post a Comment