Moja
ya matukio ambayo yanamake headlines katika Wilayani Siha Kilimanjaro
ni pamoja na adhabu zinazotolewa kwa wale wanaovunja sheria, kingine ni
kwamba kijiji cha Sanya Hoye kimepitisha adhabu ya faini ya Shilingi
50,000 pamoja na viboko 15 kwa atakayekutwa baa na mtoto mdogo au kuvaa
nguo fupi.
Mwenyekiti wa kijiji cha Sanya Hoye, Moses Mnuo ametoa ufafanuzi wa maazimio waliyokubaliana katika kikao cha kijiji cha Sanya Hoye………
>>>‘tumepitisha
sheria kwa mtu yeyote anayevaa nguo fupi kwa watoto wa kike ni marufuku
tangu siku ile ya kikao kile, wanawake hao wanapotembea hapa usiku wana
ajenda walizonazo wanafanya machafu yao kwa hiyo tutawapiga faini na
hizo hela watapewa risiti’
No comments:
Post a Comment