HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday, 11 May 2016

Burudani EXCLUSIVE PICHA 15: Bongofleva imemlipa… huu ni muonekano wa studio mpya ya Barnaba



Ni Mei 11, 2016 ambapo msanii wa Bongo Fleva, Barnaba anaziandika headlines baada ya kufungua rasmi studio yake mpya aliyoipa jina la ‘HIGHTABLE SOUND’ ambayo itahusika kurekodi kazi za wasanii pamoja na kufanya matangazo mbalimbali.
Barnaba anaingia kwenye list ya wasanii wanaomiliki studio huku akiwemo, Professor Jay, Diamond Platnumz, Dully Sykes, Nahreel, Bob Junior, Nay wa Mitego na wengineo.
Hapa nina picha 15 za muonekano wa studio hiyo mpya ya Barnaba
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment