HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday, 22 May 2016

Picha: Ne-Yo aonyesha ukongwe wake katika show ya Jembeka Festival 2016


Msanii wa muziki kutoka Marekani, Ne-Yo ameandika historia ya muziki mkoani Mwanza baada ya kufanya show ya nguvu katika tamasha la Jembeka Festival 2016 lililofanyika Jumamosi hii katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza.
Ne-Yo akifanya yake
Ne-Yo akifanya yake
Muimbaji huyo alipanda jukwaani kwa shangwe na kuanza kuimba nyimbo zake moja hadi nyingine kwa hisia hali ambayo iliibua shangwe kubwa. Pia baada ya kuimba nyimbo zake kadhaa alimwita Diamond jukwaani na kuimba naye wimbo ambao ni kolabo yao inayokuja.
Wasanii wengine ambao waliwapagawisha mashabiki ni, Diamond, Stamina, Nay wa Mitego, Mr Blue, Maua Sama, Ruby, Mo Music, Barakah Da Prince na wasanii wengine. Tazama picha.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo,  Nape Nnauye akibariki show ya Jembeka Festival
Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye akibariki show ya Jembeka Festival 2016.
Full shangwe
Full shangwe

Maua Sama

Mkurugenzi wa Jembe FM, Sebastian Ndege akizungumza mawili, matatu kabla ya show kuanza
Mkurugenzi wa Jembe FM, Sebastian Ndege akizungumza mawili, matatu kabla ya show kuanza

Mo Music akiwa na dance wake

Mo Music
Mo Music

Nay wa Mitego
Mr Blue
Mr Blue
Diamond akifanya yake
Diamond akifanya yake
Nay wa Mitego
Nay wa Mitego
Rubby
Ruby

Stamina
Stamina
Stamina
Britony
Britony
4K0A7799
4K0A7806 - Copy
4K0A7807 - Copy
4K0A7808 - Copy
4K0A7809 - Copy
4K0A7810 - Copy
4K0A7494
4K0A7604
4K0A7609
4K0A7702
4K0A7734
4K0A7751
4K0A7754

No comments:

Post a Comment