HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Tuesday 17 May 2016

Picha,Ukiacha Chris Brown,Diamond Platnumz anategemea kufanya collabo na hawa wengine wakali

Ukiacha collabo ya Diamond Platnumz na Chris Brown iliyothibitishwa na MTV Base Africa, Inasemekana lebel kubwa nchini Marekani ya RCA imefanikisha colabo zingine mbili za Diamond na wasanii wengine nchini Marekani. 
RCA ni ‘Radio Corporation of America‘ inayofanya kazi na lebel zingine kubwa kama Columbia Records,Epic Records na Sony Music Entertainment.
Ukiacha Chris Brown, Diamond Platnumz ameunganishwa na wasanii wengine kama Shakira na Miley Cyrus na atafanya nao kazi.



shakira3
Bado hatujathibitisha Taarifa hizi.

No comments:

Post a Comment