Teknolojia
inazidi kukua kwa kasi na uvumbuzi wa vifaa mbalimbali vya urahisishaji
wa kazi vinatengenezwa, kwa mara ya kwanza duniani simu iliyotengenezwa
kama roboti imeanza kuuzwa rasmi leo May 26 2016, Simu hiyo imeitwa RoBoHon na
imetengenezwa katika size kama simu nyingine isipokuwa tu muundo wake
ambao ni kama binadamu ambaye anatembea na mwenye uwezo wa kucheza pia.
Simu hiyo
iliyotengenezwa na kuzinduliwa huko Japan inauzwa paundi 1200 ambazo ni
zaidi ya milioni 30 za kibongo . RoboHon ina uwezo wa kukusaidia kupokea
simu unapokua busy na kujibu meseji kwa niaba yako na kuwa kama
msaidizi wako binafsi pia inakukumbusha juu ya matukio muhimu unayopaswa
kuyafanya.
Kampuni ya Sharp inasema itatengeneza simu 5000 za aina hiyo kila mwezi na inadhamiria kuwa kampuni inayoongoza katika mauzo ya simu za ai
No comments:
Post a Comment