HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Wednesday 22 June 2016

Duniani PICHA 22: Dubai inaongoza list yakuwa na Majengo yaliovunja rekodi kwa urefu duniani

Ndugu zangu usisahau kuwa Ukuaji wa Miji mikubwa ndio matokeo mazuri ya teknolojia inayosababisha kuwa na miundombinu bora. June 20 2016 nakusogezea  picha 22 za majengo yaliyochukua headlines kwa urefu zaidi duniani kutoka kwenye nchi tofauti.
Dubai ikiwa kama mji unao ongoza kwa kuwa na majengo mengi yalioenda hewani, nchi na miji mingine kama Tokyo, Japan, Marekani, Saud Arabia na  Malaysia pia usisahau kuniachia comment yako hapo chini mtu wangu.
Jengo hili litajengwa nchini Dubai na kuzinduliwa 2020 lina urefu wa  futi 3044 kwenda hewani.
moja
moja moja 3
moja moja
Jengo la Burj  Khalifa lililopo nchini Dubai lenye urefu wa futi 2717 kwenda hewani.
mbili
Jengo hili la Jedah Tower lililopo nchini Saudi Arabia na bado lipo katika ujenzi lenye urefu wa futi 3280 kwenda juu.
tatu
Jengo hili la Sky mile Tower lililokamilika kujengwa na kuzinduliwa  Feb 2016 lililopo nchini Tokyo lenye urefu wa futi 5250 kwenda juu.
nne
nne2
Jengo hili la 1 undershaft lililopo London nchini Uingereza lililozinduliwa December 2015 lenye urefu wa futi 984 kwenda juu.
tano
tano2
Jengo hili la Shaghai Tower lililopo nchini China lililozinduiwa 2015 nakutajwa kuwa jengo refu kuliko yote kwa bara la Asia lenye urefu wa futi 2073 kwenda juu.
sita
sita2
sita3
Jengo hili la Mecca Royal Clock Tower Hotel lililopo nchini  Saudi Arabia karibu na Msikiti mtakatifu wa Maka lenye urefu wa futi 1972.
saba
Jengo hili la One World Trade Center lililopo nchini Marekani na limetajwa kama jengo refu kuliko yote kwa upande wa mabara yaliopo magharibi mwa dunia lenye urefu wa futi 1779 lenye floor 94.
nane
nane1
Jengo hili la Taipei 101 lililopo nchini Taiwan lenye urefu wa futi 1667 na lina floo 101.
tisa
tisa2
Jengo hili la Shaghai World finacial Center lililopo mjini Shaghai nchini China lenye urefu wa futi 1614.17 lililojengwa kwa mda wa miaka 11 na kuzinduliwa rasmi 2008.
kumi
kumi1
kumi3
Jengo hili la International Commercial Center lililopo Hong Kong nchini China lenye urefu wa futi 1588 na floo 108 kwenda juu.
11
kumi n moj
Jengo hili la Petronas 1 and 2 lililopo Kuala Lumpur nchini Malaysia limetajwa kua jengo refu ambalo ni pacha duniani lenye urefu wa futi 1483 na floo 88.
12

No comments:

Post a Comment