HUBATI.COM








THANK YOU FOR YOUR VISIT               

Translate

Search This Blog

Sunday 12 June 2016

Duniani PICHAZ 9: Hii ndio couple iliyovunja rekodi duniani kwa ufupi.

Mtu wangu najua umeshaona couple nyingi duniani zenye kukuvutia na nyingine za kufurahisha, Leo June 11 2016 nimekusogezea picha tisa za couple ya watu wafupi duniani, zikiwaonyesha katika maisha yao ya kila siku, usisahau kuniachia comment yako hapa kuhusu couple hii.
Couple hii ni kutoka nchini Brazil ya Paulo Gabriel da Silva Barros miaka 30 na mchumba wake Katyucia Hoshino miaka 26 ambao wameingia katika kitabu cha kuvunja record duniani wakidai kua walikutana kwenye mtandao wa kijamii  miaka kumi iliopita nakuanza mahusiano hayo.
j
l
v
k
i
n
b
u
mk
ULIKOSA KUIONA VIDEO YA TUZO ZA NDOA ZILIZODUMU MUDA MREFU KUTOLEWA TANZANIA? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI.

No comments:

Post a Comment